Kiuno kimeniletea matatizo!

Kiuno kimeniletea matatizo!

bryleen

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
90
Reaction score
24
Jamani yamenikuta mwenzenu leo baada ya kumjibu rafiki wa boyfriend nimefanya kazi mpk kiuno kinauma!eti naulizwa nimemjibu hvyo ili anisaidieje??punguzeni wivu jama khaa!

tupunguze sisi au apunguze bf wako?

inawezekana ndio sraili yako ya kutokea vidume na bf wako anaijua,,,lol

tupunguze sisi au apunguze bf wako?

inawezekana ndio sraili yako ya kutokea vidume na bf wako anaijua,,,lol

The boss nitake radhi tafadhali coz mi ni m2 mmoja mwaminifu sana

anamaanisha.....leo alifanya kazi sana (ofisini labda) sasa akamwambia rafiki wa bf kuwa.....leo alifanya kazi sana mpaka kiuno kinauma.....umeelewa sasa....?

Thanx preta afu hata ofcn ucngeweka mabano coz ndiko huko huko nimeinama frm mrng mpk tisa na nusu ndo natoka.

sio wivu ni tamaduni tu. kwetu sie binti wa less than 40yrs old huwezi sema waumwa kiuno,ni matusi

Jamani mi ckujua coz ndipo palipokuwa panauma afta kuinama kwenye computer cku nzima.itabd niombe msamaha

Jamani yamenikuta mwenzenu leo baada ya kumjibu rafiki wa boyfriend nimefanya kazi mpk kiuno kinauma!eti naulizwa nimemjibu hvyo ili anisaidieje??punguzeni wivu jama khaa!

So complicated wd....anyway madayenu ilikua inahusu nini hata neno husika likapata nafasi ....naomba nifahamu hapo kwanza kisha nitoe comment yangu kama mlalamikaji alistahili au laa .........

Why?so ungekuwa ww ungekasirika pia

soma alichoandika King'asti..! mimi nisingekasirika but kumbuka we r not all the same

Ungemwambia ambae kinamhusu...au ulitaka shemeji akusaidie kukikanda?!

Dah!aisee pole sana jamaangu.

kuinama najua ushamaanisha vingne ndo maana ukaweka red hapo jamani jamani jamani??usiwe na maana moja kama staili ya bata bwana

Back
Top Bottom