Kiuno kinauma sana.

Muone dakitar;tiba mbadala kula kitunguu swaum japo *2 kwa siku(asubuh mbegu kumi na jioni mbegu kumi)unaweza kutwanga au katakata kisha sukumia kwa maj
 
mimi nikifanya mazoezi ya kukimbia kidogo kiuno kinauma hatari. lakini nikitulia/nikipumzika kidogo hali inatulia
 
Muone dakitar;tiba mbadala kula kitunguu swaum japo *2 kwa siku(asubuh mbegu kumi na jioni mbegu kumi)unaweza kutwanga au katakata kisha sukumia kwa maj
Kitunguu mbegu kumi?? Awe anaijua afya yake vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…