Kiuno kuuma sana mpaka nakosa amani,silali wala sikai vizuri.

Kiuno kuuma sana mpaka nakosa amani,silali wala sikai vizuri.

shangwe shangwe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
108
Reaction score
24
Ndg wadau naomba msaada wa kiushauri na mawazo. Siku tatu zimepita tangu kiuno changu kuanza kuuma sana. Nakosa raha kabisa kwa kukaa,kutembea na kulala kwangu sasa ni shida tupu maumivu kibao. Msaada tafadhari!
 
Dawa ya Maradhi ya Kiuno Tiba mbadala Vifaa vyake hivi hapa.

1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa.

2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa.

3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba.

4.Maji chupa moja.

unachemsha pamoja .

Matumizi: Robo gilasi kutwa mara tatu kwa muda wa siku 3 au siku 7 tumia kisha uje hapa unipe Feedback.Mkuu.@

Ahsante sana Mzizi mkavu
 
Ndg wadau naomba msaada wa kiushauri na mawazo. Siku tatu zimepita tangu kiuno changu kuanza kuuma sana. Nakosa raha kabisa kwa kukaa,kutembea na kulala kwangu sasa ni shida tupu maumivu kibao. Msaada tafadhari!
nenda kapige lamba-sacral x-ray. tatizo ni uti wa mgongo
 
Ndg wadau naomba msaada wa kiushauri na mawazo. Siku tatu zimepita tangu kiuno changu kuanza kuuma sana. Nakosa raha kabisa kwa kukaa,kutembea na kulala kwangu sasa ni shida tupu maumivu kibao. Msaada tafadhari!

Mkuu Yesu Kristo wa Nazareth ndio dawa pekee ya tatizo lako kwani alisema pale msalabani kuwa yote yameisha so muite yeye naye atakuponya na tatizo. Kwake yote yanawezekana.
 
Dawa ya Maradhi ya Kiuno Tiba mbadala Vifaa vyake hivi hapa.

1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa.

2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa.

3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba.

4.Maji chupa moja.

unachemsha pamoja .

Matumizi: Robo gilasi kutwa mara tatu kwa muda wa siku 3 au siku 7 tumia kisha uje hapa unipe Feedback.Mkuu.@
shangwe shangwe

Mkuu mzizimkavu,uwatu,zaatari ndio kitu gani na vinapatikanaje? Maji chupa 1 ya ujazo gani,pia ukishachemsha mara moja tu inatosha au ni kila siku?
 
Mkuu mzizimkavu,uwatu,zaatari ndio kitu gani na vinapatikanaje? Maji chupa 1 ya ujazo gani,pia ukishachemsha mara moja tu inatosha au ni kila siku?
Mkuu alovera Kumbe wengi wanaumwa hayo maradhi ya kiuno? Maji

unaweza kuweka chupa 1 na nusu chupa Orange ukachemsha kwa muda wa dakika 10 au 15 kisha ukatumia kila siku mpaka Dawa

imalizike kisha ukafanya dawa ingine unaweza kutumia kwa muda wa siku 7 utapona inshallah. Uwatu na Zaatari dawa hizo

zinapatikana hapo mjini Dares-Salaam Sokoni kariakoo mitaa wanayouza wapemba Dawa za Kiarabu kaulize utapata. Mimi sipo miaka

mingi sijuwi kama bado kuna mtaa wa pemba hapo akaribu na Sokoni Kariakoo?

UWATU kwa lugha ya Kiswahili Kwa Lugha ya Kiarabu unaitwa Hilba Kwa Lugha y Kiingereza UWATU unaitwa Fennul Greek.
Fenugreek-methi-seeds.jpg

fenugreek-seeds1.jpg

Uwatu huo au kwa Kiingereza unaitwa Fennul Greek.

Zaatari kwa Lugha ya Kiswahili kwa lugha ya kiarabu unaitwa Zaatari kwa lugha ya kiingereza unaitwa thyme
Thyme-spice.jpg

zeusd1-SACU-23198677.jpg

Zaatari kwa kiingereza inaitwa thyme
 
Back
Top Bottom