shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Ndg wadau naomba msaada wa kiushauri na mawazo. Siku tatu zimepita tangu kiuno changu kuanza kuuma sana. Nakosa raha kabisa kwa kukaa,kutembea na kulala kwangu sasa ni shida tupu maumivu kibao. Msaada tafadhari!