shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Dawa ya Maradhi ya Kiuno Tiba mbadala Vifaa vyake hivi hapa.
1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa.
2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa.
3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba.
4.Maji chupa moja.
unachemsha pamoja .
Matumizi: Robo gilasi kutwa mara tatu kwa muda wa siku 3 au siku 7 tumia kisha uje hapa unipe Feedback.Mkuu.@shangwe shangwe
nenda kapige lamba-sacral x-ray. tatizo ni uti wa mgongoNdg wadau naomba msaada wa kiushauri na mawazo. Siku tatu zimepita tangu kiuno changu kuanza kuuma sana. Nakosa raha kabisa kwa kukaa,kutembea na kulala kwangu sasa ni shida tupu maumivu kibao. Msaada tafadhari!
Punguza u-ma-la-ya mkuu
Ndg wadau naomba msaada wa kiushauri na mawazo. Siku tatu zimepita tangu kiuno changu kuanza kuuma sana. Nakosa raha kabisa kwa kukaa,kutembea na kulala kwangu sasa ni shida tupu maumivu kibao. Msaada tafadhari!
Dawa ya Maradhi ya Kiuno Tiba mbadala Vifaa vyake hivi hapa.
1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa.
2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa.
3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba.
4.Maji chupa moja.
unachemsha pamoja .
Matumizi: Robo gilasi kutwa mara tatu kwa muda wa siku 3 au siku 7 tumia kisha uje hapa unipe Feedback.Mkuu.@shangwe shangwe
Mkuu alovera Kumbe wengi wanaumwa hayo maradhi ya kiuno? MajiMkuu mzizimkavu,uwatu,zaatari ndio kitu gani na vinapatikanaje? Maji chupa 1 ya ujazo gani,pia ukishachemsha mara moja tu inatosha au ni kila siku?