MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Dah. Kwani Mbowe alirudisha kadi ya CCM lini?Bashiru huyu ambaye. hajawahi kurudisha kadi ya CUF awe Makamo wa CCM? Umetumwa na wehu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah. Kwani Mbowe alirudisha kadi ya CCM lini?Bashiru huyu ambaye. hajawahi kurudisha kadi ya CUF awe Makamo wa CCM? Umetumwa na wehu
Huyu huyu ambaye alisimama kidete kuhakikisha kuwa Samia haapishwi kuwa Rais?Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995.
Wengi sasa tunajua kuwa Ndugu Abdulrahman Kinana amewasilisha ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na imeripotiwa kuwa Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa ameridhia ombi hilo la kujiuzulu kwa Kinana.
Ni wazi kuwa mchakato wa kumpata mrithi wa Kinana umeshaanza. Wapo wanachama wengi waandamizi ndani ya CCM ambao wanatajwa kumrithi Kinana. Kwangu mimi, kulingana na 'utamaduni' wa CCM ambao nimeushuhudia, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ana nafasi kubwa kushika nafasi hiyo.
Pamoja na kuwa Dkt. Bashiru ni mzoefu kisiasa na kiuchaguzi, anayo sifa kuu ya nafasi hiyo ndani ya CCM: kuwahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Kuanzia kwa Mzee Msekwa, Mangula na Kinana, wote waliwahi kuwa Makatibu Wakuu wa CCM na baadaye kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Taifa. Sina maana kuwa Dkt. Bashiru ndiye Katibu Mkuu wa CCM pekee wa zamani aliyepo.
Mzee Mukama na Mzee Makamba wapo. Kwa umri wao, ni rahisi kujenga hoja kwamba wanahitaji kupumzika siasa za moja kwa moja majukwaani kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Lakini, Dkt. Bashiru bado ana nguvu za kutosha kukitumikia chama chake. Ana uzoefu wa siasa za majukwaani na za kiuchaguzi.
Kimsingi, namuona Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kama a leading candidate kwenye kumrithi Ndugu Kinana. Kuwahi kushika nafasi ya juu ndani ya CCM-MFANO Katibu Mkuu ni added advantage. Ni mawazo yangu huru tu.
Malima yuko kwenye ile list ya watukutu wanaoendesha mtandao wa uasi ndani ya CCM.Walio katika rada ni Nchimbi, Adam Kimbisa na Malima
Bashiru ana doa la wakati ule,Ubunge , Umri na dini vinashida,
Mkiti Zanzibar Islamic
Mkiti Taifa Islamic
Mkiti bara tena awe Islamic patakuwa na dosari hapo.
Sipingi íla nachangia tu kuboresha,
Sijui kama umenielewa vema
Nchimbi makamu Mwenyekiti Makonda Katibu Mkuu 😅🤣🤠Walio katika rada ni Nchimbi, Adam Kimbisa na Malima
Futa hii. Inakushusha hazi sana. Tunatakiwa tutoke huku.Ubunge , Umri na dini vinashida,
Mkiti Zanzibar Islamic
Mkiti Taifa Islamic
Mkiti bara tena awe Islamic patakuwa na dosari hapo.
Sipingi íla nachangia tu kuboresha,
Sijui kama umenielewa vema
Yule hafai kabisa. Tutaanza kuona mizoga ya watu baharini tena. Yule kuua haoni shidaIngawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995.
Wengi sasa tunajua kuwa Ndugu Abdulrahman Kinana amewasilisha ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na imeripotiwa kuwa Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa ameridhia ombi hilo la kujiuzulu kwa Kinana.
Ni wazi kuwa mchakato wa kumpata mrithi wa Kinana umeshaanza. Wapo wanachama wengi waandamizi ndani ya CCM ambao wanatajwa kumrithi Kinana. Kwangu mimi, kulingana na 'utamaduni' wa CCM ambao nimeushuhudia, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ana nafasi kubwa kushika nafasi hiyo.
Pamoja na kuwa Dkt. Bashiru ni mzoefu kisiasa na kiuchaguzi, anayo sifa kuu ya nafasi hiyo ndani ya CCM: kuwahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Kuanzia kwa Mzee Msekwa, Mangula na Kinana, wote waliwahi kuwa Makatibu Wakuu wa CCM na baadaye kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Taifa. Sina maana kuwa Dkt. Bashiru ndiye Katibu Mkuu wa CCM pekee wa zamani aliyepo.
Mzee Mukama na Mzee Makamba wapo. Kwa umri wao, ni rahisi kujenga hoja kwamba wanahitaji kupumzika siasa za moja kwa moja majukwaani kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Lakini, Dkt. Bashiru bado ana nguvu za kutosha kukitumikia chama chake. Ana uzoefu wa siasa za majukwaani na za kiuchaguzi.
Kimsingi, namuona Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kama a leading candidate kwenye kumrithi Ndugu Kinana. Kuwahi kushika nafasi ya juu ndani ya CCM-MFANO Katibu Mkuu ni added advantage. Ni mawazo yangu huru tu.
hilo kundi halikwepeki.Huyu hawezi kupewa na nashauri asipewe kabisaaaa ndiyo kinara wa Lile kundi la SG waliotaka kupindisha Katiba.
Mkuu huyo alisha sema cheo chake alicho kuwa nacho cha Katibu Mkuu wa Chama kina mtosha na hatakubali cheo chochote tena, sasa vipi! ametengua usemi wake?Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995.
Wengi sasa tunajua kuwa Ndugu Abdulrahman Kinana amewasilisha ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na imeripotiwa kuwa Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa ameridhia ombi hilo la kujiuzulu kwa Kinana.
Ni wazi kuwa mchakato wa kumpata mrithi wa Kinana umeshaanza. Wapo wanachama wengi waandamizi ndani ya CCM ambao wanatajwa kumrithi Kinana. Kwangu mimi, kulingana na 'utamaduni' wa CCM ambao nimeushuhudia, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ana nafasi kubwa kushika nafasi hiyo.
Pamoja na kuwa Dkt. Bashiru ni mzoefu kisiasa na kiuchaguzi, anayo sifa kuu ya nafasi hiyo ndani ya CCM: kuwahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Kuanzia kwa Mzee Msekwa, Mangula na Kinana, wote waliwahi kuwa Makatibu Wakuu wa CCM na baadaye kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Taifa. Sina maana kuwa Dkt. Bashiru ndiye Katibu Mkuu wa CCM pekee wa zamani aliyepo.
Mzee Mukama na Mzee Makamba wapo. Kwa umri wao, ni rahisi kujenga hoja kwamba wanahitaji kupumzika siasa za moja kwa moja majukwaani kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Lakini, Dkt. Bashiru bado ana nguvu za kutosha kukitumikia chama chake. Ana uzoefu wa siasa za majukwaani na za kiuchaguzi.
Kimsingi, namuona Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kama a leading candidate kwenye kumrithi Ndugu Kinana. Kuwahi kushika nafasi ya juu ndani ya CCM-MFANO Katibu Mkuu ni added advantage. Ni mawazo yangu huru tu.
Hawa raia wa Burundi wanaojifanya Watanzania, kuna nafasi ambazo hawastahili kufika. Nadhani Bashiru Ally hivyo alivyovifikia kupitia Magufuli ndiyo vya mwisho.Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995.
Wengi sasa tunajua kuwa Ndugu Abdulrahman Kinana amewasilisha ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na imeripotiwa kuwa Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa ameridhia ombi hilo la kujiuzulu kwa Kinana.
Ni wazi kuwa mchakato wa kumpata mrithi wa Kinana umeshaanza. Wapo wanachama wengi waandamizi ndani ya CCM ambao wanatajwa kumrithi Kinana. Kwangu mimi, kulingana na 'utamaduni' wa CCM ambao nimeushuhudia, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ana nafasi kubwa kushika nafasi hiyo.
Pamoja na kuwa Dkt. Bashiru ni mzoefu kisiasa na kiuchaguzi, anayo sifa kuu ya nafasi hiyo ndani ya CCM: kuwahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Kuanzia kwa Mzee Msekwa, Mangula na Kinana, wote waliwahi kuwa Makatibu Wakuu wa CCM na baadaye kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Taifa. Sina maana kuwa Dkt. Bashiru ndiye Katibu Mkuu wa CCM pekee wa zamani aliyepo.
Mzee Mukama na Mzee Makamba wapo. Kwa umri wao, ni rahisi kujenga hoja kwamba wanahitaji kupumzika siasa za moja kwa moja majukwaani kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Lakini, Dkt. Bashiru bado ana nguvu za kutosha kukitumikia chama chake. Ana uzoefu wa siasa za majukwaani na za kiuchaguzi.
Kimsingi, namuona Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kama a leading candidate kwenye kumrithi Ndugu Kinana. Kuwahi kushika nafasi ya juu ndani ya CCM-MFANO Katibu Mkuu ni added advantage. Ni mawazo yangu huru tu.
Iswal nnje ya mada.hiv mshahar analipwa?ya makam mwnyekt?Kwa njaa aliyonayo ataenda haraka sn
Impossible kwa sababu ya lile tukio la mwanzoni kabisa kwamba watu walitaka kupindua Meza !Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995.
Wengi sasa tunajua kuwa Ndugu Abdulrahman Kinana amewasilisha ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na imeripotiwa kuwa Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa ameridhia ombi hilo la kujiuzulu kwa Kinana.
Ni wazi kuwa mchakato wa kumpata mrithi wa Kinana umeshaanza. Wapo wanachama wengi waandamizi ndani ya CCM ambao wanatajwa kumrithi Kinana. Kwangu mimi, kulingana na 'utamaduni' wa CCM ambao nimeushuhudia, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ana nafasi kubwa kushika nafasi hiyo.
Pamoja na kuwa Dkt. Bashiru ni mzoefu kisiasa na kiuchaguzi, anayo sifa kuu ya nafasi hiyo ndani ya CCM: kuwahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Kuanzia kwa Mzee Msekwa, Mangula na Kinana, wote waliwahi kuwa Makatibu Wakuu wa CCM na baadaye kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Taifa. Sina maana kuwa Dkt. Bashiru ndiye Katibu Mkuu wa CCM pekee wa zamani aliyepo.
Mzee Mukama na Mzee Makamba wapo. Kwa umri wao, ni rahisi kujenga hoja kwamba wanahitaji kupumzika siasa za moja kwa moja majukwaani kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Lakini, Dkt. Bashiru bado ana nguvu za kutosha kukitumikia chama chake. Ana uzoefu wa siasa za majukwaani na za kiuchaguzi.
Kimsingi, namuona Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kama a leading candidate kwenye kumrithi Ndugu Kinana. Kuwahi kushika nafasi ya juu ndani ya CCM-MFANO Katibu Mkuu ni added advantage. Ni mawazo yangu huru tu.
Kuondoa mpasuko au kusaidia kusukuma kete za kurudi kitini na kukata mizizi ya MG? Kwangu Mimi Mizengo Pinda anastahili ili ku neutralize mambo uku DS wakimaliza ile kazi maalum kimya kimya.hilo kundi halikwepeki.
subiri kidogo tu utaelewa
Ina maana Kanali Mstaafu kwa Heshima Mzee Kinana alikuwa ROMAN CATHOLIC ndio akawa Makambi Mwenyekiti? Basi sawa. TIMEELEWA!!Ubunge , Umri na dini vinashida,
Mkiti Zanzibar Islamic
Mkiti Taifa Islamic
Mkiti bara tena awe Islamic patakuwa na dosari hapo.
Sipingi íla nachangia tu kuboresha,
Sijui kama umenielewa vema
Kuna posho nyingi kuliko mshahara + rushwa kubwa, Makamu Mwenyekiti anaweza kumpigia simu Waziri Mkuu na kumpa maelekezo muda wowoteIswal nnje ya mada.hiv mshahar analipwa?ya makam mwnyekt?