Kiko wapi hicho kinyama?
hiyo laser inakataje mkuu?Kuna kukatwa kwa laser siku hizi.
Ni efficient, neat na kovu ni kama haipo
Madhara yake ni kuwa you will look flawless 🙂
wakuu ninakipe/kinyama kwenye mwili wangu kiko kama cha Joketi but ni kirefu kidogo nataka nikikate.. Je kuna mazara yoyote? Au kuna njia nyingine kukiondoa au pia kama kunadawa naomba kujuzwa... Asante...
Mmmmm kuna uwezekano kikaota tena au kutengeneza kovu la ajabu ajabu.Ni kama cha mzee Warioba ,kwani wengine hatumjui huyo Roketi,kama ni kama hicho tafuta uzi wa nailoni funga kwenye shina ,utasikia maumivu kidogo lakini baada ya kama siku nne kitaanza kusinyaa na baada kitaanguka baada ya kukosha ''lishe''kutoka mwilini
Mmmmm kuna uwezekano kikaota tena au kutengeneza kovu la ajabu ajabu.