kivimbe kama Joket nikikate?

kivimbe kama Joket nikikate?

Frekim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
321
Reaction score
55
wakuu ninakipe/kinyama kwenye mwili wangu kiko kama cha Joketi but ni kirefu kidogo nataka nikikate.. Je kuna mazara yoyote? Au kuna njia nyingine kukiondoa au pia kama kunadawa naomba kujuzwa... Asante...
 
Kuna kukatwa kwa laser siku hizi.

Ni efficient, neat na kovu ni kama haipo

Madhara yake ni kuwa you will look flawless 🙂
 
usikikate, muone doctor zipo njia tofauti za kukiondoa kama alivyoeleza mdau hapo juu.
 
wakuu ninakipe/kinyama kwenye mwili wangu kiko kama cha Joketi but ni kirefu kidogo nataka nikikate.. Je kuna mazara yoyote? Au kuna njia nyingine kukiondoa au pia kama kunadawa naomba kujuzwa... Asante...

Ni kama cha mzee Warioba ,kwani wengine hatumjui huyo Roketi,kama ni kama hicho tafuta uzi wa nailoni funga kwenye shina ,utasikia maumivu kidogo lakini baada ya kama siku nne kitaanza kusinyaa na baada kitaanguka baada ya kukosha ''lishe''kutoka mwilini
 
Mmmmm kuna uwezekano kikaota tena au kutengeneza kovu la ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom