KERO Kivuko cha Azam Ferry pale Kigamboni ni janga jingine linalosubiri kutokea

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
2,372
Reaction score
3,108
Jamani jamani, wiki iliyopita nilibahatika kupanda kivuko cha Azam pale Ferry Dar es Salaam. Kivuko kinajaa sana na hakuna kinga yoyote iliyoandaliwa pindi tatizo likitokea.

Tafadhali, idara ya serikali inayohusika, siku tatizo likitokea mtatueleza nini? Hakuna maboya ya kuogelea, wanaosimama ni wengi kuliko waliokaa.

Hii nchi ni kama tunakaa kusubiri majanga ili tufanye kazi. Niishie hapa kwa leo.
 
Pale pafupi sana unapajua Busisi wewe ile distance ni kiama
 
tafakari
chukua hatua
 
siku hizi mao wanajaza sana.zaman ilikuua level seat na kisha wanasimama wachache
 
Ufupi wake ni upi!! , kwa maji yanayoweza kupitisha mameli makubwa ya mizigo mtu akizama na hajui kuogelea ni sekunde tu hatunae. Tahadhari zichukulie mapema.
Pale pafupi sana unapajua Busisi wewe ile distance ni kiama
 
Ila kuvuka na pantoni pale Ferry, inahitaji moyo mnoo. Lol
 
Back
Top Bottom