maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Busisi siijui lakini zile Sea Taxi serikali inabidi iziwekee miongozo... Idadi ya abiria, idadi ya vifaa vya kujiokolea, fire extinguisher etcPale pafupi sana unapajua Busisi wewe ile distance ni kiama
tafakariJamani jamani, wiki iliyopita nilibahatika kupanda kivuko cha Azam pale Ferry Dar es Salaam. Kivuko kinajaa sana na hakuna kinga yoyote iliyoandaliwa pindi tatizo likitokea.
Tafadhali, idara ya serikali inayohusika, siku tatizo likitokea mtatueleza nini? Hakuna maboya ya kuogelea, wanaosimama ni wengi kuliko waliokaa.
Hii nchi ni kama tunakaa kusubiri majanga ili tufanye kazi. Niishie hapa kwa leo.
Busisi cha mtoto kamanga je? Kama unaenda ukerewePale pafupi sana unapajua Busisi wewe ile distance ni kiama
Sawa, tengeni hiyo hela ya tume kabisa msije wafanyisha watu kazi bila helaTutaunda tume, kwahiyo usijali.
Duh, yamekuwa mashindano tena?Pale pafupi sana unapajua Busisi wewe ile distance ni kiama
Pale pafupi sana unapajua Busisi wewe ile distance ni kiama