Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugumu wa kuwa mzalendo katika dimbwi la umaskini ni sawa kabisa na ugumu wa kudinda ukiwa na njaa zilizochanganyika n stresSerikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry,
Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uwakika kabisa. Na watu Wengi wanaona Bora wapande kivuko cha Azam kuliko cha Serikali.
Kivuko kilichopo, kitakufa kama vilivyokufa vingine, Swali la kujiuliza inamaana Azam ni borq sana kwenye utendaji kazi kuliko Serikali.
Inamaana Serikali inazidiwa na mtu Binafsi.
Vivuko vyote vimekufa, Je, huu ni mtazamo wangu, au Kuna watu wamehusika kukihujumu kivuko vife/ viwe vibovu vishindwe kufanya kazi.
Ninachoona kwa mtazamo wangu kivuko kilichopo ni kibovu, nacho kinaenda kwa kusua sua nacho kitakufa.
Baada ya vivuko vyote Kufa, Azam anabudi kupewa kivuko kuendesha, maana na Tafsiri yake Watu wanapewa Dhamana ktk shughuri za Serikali sio waaminifu na sio wazalendo ingawa wanahubiri uzalendo.
Serikalini hakuna OWNERSHIP..!!!Serikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry,
Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uhakika kabisa. Na watu Wengi wanaona Bora wapande kivuko cha Azam kuliko cha Serikali.
Kivuko kilichopo, kitakufa kama vilivyokufa vingine, Swali la kujiuliza inamaana Azam ni bora sana kwenye utendaji kazi kuliko Serikali.
Ina maana Serikali inazidiwa na mtu Binafsi.