Kivuko Cha Magogoni Feri

Shida mtu akipata kazi serikalini anaona uchochoro wa utajiri,

Hata kama ni certificate holder Tu,


The best way, ni serikali kufanya kazi na sekta binafsi, serikali iwe shareholder wa 30-45% the rest mtu binafsi anakomaa nayo,

Serikali inakuwa na veto power kwenye management, ila utekelezaji unabaki kwa mtu binafsi

Hapo ndipo mambo yatakwenda
 
Ugumu wa kuwa mzalendo katika dimbwi la umaskini ni sawa kabisa na ugumu wa kudinda ukiwa na njaa zilizochanganyika n stres
 
walau sasa nafuu. tumeshashasahau kuchelewa. mungu ibarik e sae tax
 
Mara nyingi mali ya Uma, utunzaji wake watendaji wala hawatilii maanani. Unaweza Kuta ni kifaa kidogo tu kinahitajika kwa ajili ya marekebisho. Lakini kutakuwa na konakona kibao mara huyu mara yule mara tusubiri mtiaji saini mkuu kasafiri. Mwisho wa siku kifaa kinaendelea kuoza na kusababisha gharama kubwa zaidi ya ilivyokuwa mwanzo.
 
Nilipachukia kigamboni kwasababu ya ULE UPUMBAVU WA PALE AISSEE.
Watu wa kigamboni ni wavumilivu wa hali ya juu.

Bila daraja siendi kigamboni.
Mala mia nipite Darajani
 
Serikalini hakuna OWNERSHIP..!!!
Angalia TTCL, ATCL, VIVUKO etc. Lakini hayo hayo yakifanywa na private sector yananyooka, mfano akina VODA, AIRTEL, YASS etc, Precisonair, boat za za Zenji etc..!! NA MBAYA ZAIDI, SERIKALI HUISHIA KUWEKA MAMBO MAGUMU KWA PRIVATE SECTOR ILI WASHINDWE. Unaikumbuka NAFUUU NAFUUU NAFUUU..!? Precisionair wenyewe walichimbwa mkwala kupeleka ndege KIgoma siku fulani ya wiki, wakabadili
 
Utendaji na ufuatiliaji kwenye miradi ya serikali ni tofauti kabisa na miradi binafsi na ndio changamoto kubwa ya maanguko ya miradi mingi ya gvt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…