DOKEZO Kivuko cha Pangani kuna mazingira ya tiketi moja kutumika zaidi ya mara moja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hicho kivuko ni cha kihuni na kina wezi tu.
Nilipita hapo mara ladhaa niliona wanacheza na kula pesa za bure.
 
Na pale stand ya msamvu morogoro pamulikwe
 
Wiki ijayo napita hapo, naenda kumwaga mboga, Wazalendo tumebaki wachache.
 
Kwanini lisijengwe Daraja ili Wananchi wawe wanapita bure na Magari yalipe Toll kidogo?

Daraja halihitaji Dizeli kuliendesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…