KERO Kivuko cha watembea kwa miguu 🚸 eneo la Njia panda ya chuo UDSM

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Option iliopo pale ni kupitia kwenye zebra pale pale Ubungo.
Pale manzese, Buguruni na Kawe bondeni kuna madaraja ya juu na bado kuna wadau wanakatiza chini.
 

Nadhani Tanroad inawwza kuwa ni sector inayoongoza kuzarau waenda kwa miguu kwa afrika mashariki yote.

Barabara zote sehemu za kuvukia waenda kwa miguu ni buguruni labda na pale bondeni kabla ya tangibovu.lakini angalia barabara hizi zote mpya za mwendokasi zinazojengwa hakuna.Morogoro road,Msimbazi road,Nyerere road,old bagamoyo roas maeneo ya mwenge,alhasani mwinyi roas,kawawa,kilwa road,nyerere pamoja pugu roads.barabara hizi zote zina maeneo mengi sana watu wanavuka kwa kurisk.
nilidhani designers wanamisi social lens.hata hizo Social and enverment impact assesment wanafanyaga kwa ajili mostly ya kutick boxes.

Linafanyika jambo jema ambalo ndani yake siyo inclusive,waendesha vyombo vya moto wamafaidi watembea kwa miguu wanakuwa stressed.
Mwingine naona asema si wavukie kwemye taa,kajaribu wewe uone
 
Nadhani traffic waanze kuwalamba faini na watembea kwa miguu. Yaani mtu anajua kivuko kilipo halafu anakuja kulazimisha upumbavu wa kuvuka sehemu isiyo salama kwa sababu za kijinga mno??!!!!... hizo hela za kujenga hicho kivuko zielekezwe sehemu zingine za nchi zisizo hata na barabara nzuri za changarawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…