Mwakani huko Shirikisho mnapangwa na Raja, Horoya na Rivers. CAF wataendelea kuwapa hao Rivers hadi tujue mbabe ni nani kati yenu.Kabla ya yote acha kwanza nitumie neno ili la kifaransa ambao moise katumbi alipenda kutumia kwa mazembe Yake
L’Imposible ce n’est pas à young africa
Young africa tous puisant
Na kuambia ivi ubingwa wa shirikisho tunachukuwa
Vipande vishuke mwaka huu ubingwa washirikisho tunachukuwa
Yanga ya sasa ndo photo copy ya mazembe ya zamani
Mwakani tunaenda kuchukuwa tena ubingwa wa afrika na kufika final ya club world cup mwakani
Kama alivyo fanya mazembe 2010
Mmeanza kuwehuka!Kabla ya yote acha kwanza nitumie neno ili la kifaransa ambao moise katumbi alipenda kutumia kwa mazembe Yake
L’Imposible ce n’est pas à young africa
Young africa tous puisant
Na kuambia ivi ubingwa wa shirikisho tunachukuwa
Vipande vishuke mwaka huu ubingwa washirikisho tunachukuwa
Yanga ya sasa ndo photo copy ya mazembe ya zamani
Mwakani tunaenda kuchukuwa tena ubingwa wa afrika na kufika final ya club world cup mwakani
Kama alivyo fanya mazembe 2010
Habari ziwafikie makolo woteKabla ya yote acha kwanza nitumie neno ili la kifaransa ambao moise katumbi alipenda kutumia kwa mazembe Yake
L’Imposible ce n’est pas à young africa
Young africa tous puisant
Na kuambia ivi ubingwa wa shirikisho tunachukuwa.
Vipande vishuke mwaka huu ubingwa washirikisho tunachukuwa
Yanga ya sasa ndo photo copy ya mazembe ya zamani
Mwakani tunaenda kuchukuwa tena ubingwa wa afrika na kufika final ya club world cup mwakani.
Kama alivyo fanya mazembe 2010