kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kabla ya yote acha kwanza nitumie neno ili la kifaransa ambao moise katumbi alipenda kutumia kwa mazembe Yake
L’Imposible ce n’est pas à young africa
Young africa tous puisant
Na kuambia ivi ubingwa wa shirikisho tunachukuwa.
Vipande vishuke mwaka huu ubingwa washirikisho tunachukuwa
Yanga ya sasa ndo photo copy ya mazembe ya zamani
Mwakani tunaenda kuchukuwa tena ubingwa wa afrika na kufika final ya club world cup mwakani.
Kama alivyo fanya mazembe 2010