Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 283 Jan 11, 2013 #1 Niko hapa Chimwaga, Nimejumuika na wanafunzi wa Kiswahili wanaigiza hiki kitabu... Nimejifunza mengi nikilinganisha na siasa za Tanzania!! Umekisoma hiki kitabu?!! Kuna kitu chochote umejifunza??
Niko hapa Chimwaga, Nimejumuika na wanafunzi wa Kiswahili wanaigiza hiki kitabu... Nimejifunza mengi nikilinganisha na siasa za Tanzania!! Umekisoma hiki kitabu?!! Kuna kitu chochote umejifunza??
R raymg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 842 Reaction score 214 Jan 11, 2013 #2 sijawahi kukisoma kinahusu nini mkuu
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 283 Jan 11, 2013 Thread starter #3 Naona kama kinahusu namna msomi anabadilishwa na kuwa mbumbumbu na wanasiasa!!! Kuna ishu za UNGA wa Ndele...... Ni kama kinamuhusu mwalimu nyerere alipokuwa anawapumbaza wasomi akina Tutemeke Sanga wawe mambumbumbu!!!!
Naona kama kinahusu namna msomi anabadilishwa na kuwa mbumbumbu na wanasiasa!!! Kuna ishu za UNGA wa Ndele...... Ni kama kinamuhusu mwalimu nyerere alipokuwa anawapumbaza wasomi akina Tutemeke Sanga wawe mambumbumbu!!!!
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 283 Jan 11, 2013 Thread starter #5 Yes Ni kama Jk Nyerere vs Sokoine
B BAPUPEGHE JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 220 Reaction score 38 Jan 11, 2013 #6 Kwa kuwa fasihi ni hisi, na ni lugha ya picha, Basi hapo ni Nyerere na Sokoine. Ivi unga wa ndele, rutuba? Wapi bi kilembwe? Hebu rusha picha nimuone Mponela.
Kwa kuwa fasihi ni hisi, na ni lugha ya picha, Basi hapo ni Nyerere na Sokoine. Ivi unga wa ndele, rutuba? Wapi bi kilembwe? Hebu rusha picha nimuone Mponela.
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 283 Jan 11, 2013 Thread starter #7 Kuna mdada kaigiza kama bi kilembwe, kwa kweli inatisha na kufurahisha!!!!