kivuli kinaishi hadi Leo?!! ni kweli haya UDOM

kivuli kinaishi hadi Leo?!! ni kweli haya UDOM

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
283
Niko hapa Chimwaga,
Nimejumuika na wanafunzi wa Kiswahili wanaigiza hiki kitabu...


Nimejifunza mengi nikilinganisha na siasa za Tanzania!!

Umekisoma hiki kitabu?!!


Kuna kitu chochote umejifunza??
 
Naona kama kinahusu namna msomi anabadilishwa na kuwa mbumbumbu na wanasiasa!!!


Kuna ishu za UNGA wa Ndele......

Ni kama kinamuhusu mwalimu nyerere alipokuwa anawapumbaza wasomi akina Tutemeke Sanga wawe mambumbumbu!!!!
 
Kwa kuwa fasihi ni hisi, na ni lugha ya picha, Basi hapo ni Nyerere na Sokoine. Ivi unga wa ndele, rutuba? Wapi bi kilembwe? Hebu rusha picha nimuone Mponela.
 
Kuna mdada kaigiza kama bi kilembwe, kwa kweli inatisha na kufurahisha!!!!
 
Back
Top Bottom