Tofauti yake ni mpunga na namna ya uwendeshwaji wake.Mshindi wa kivumbi cup anapata mil 20 ukiachana na hilo, man of the match anapata laki 5, kiungo Bora anapata laki 5, kipa Bora anapata laki 5, kiungo Bora anapata laki 5 na mchambuliaji Bora anapata laki 5 hapo tu unaona utofauti teyali.Lengo la wasafi ukiachana na kukupa platform ya kuonekana live cos haya mashindano yanarushwa live pia unapata fursa ya kuongeza kipato Mfano Kama kijana atakuwa man of the match Mara 4 atapata mil 2 teyali kijana umasikini atakuwa ameuaga Kama atatumia vizuri hiyo hela lakini pia watapatikana vijana wenye vipaji vikubwa kwenye hiyo michuano wasafi watawachukua kuwatafutia team za nje ya nchi ila vijana hao wawe tu na umri chini ya miaka 18.