kivumbiiii

kivumbiiii

Nyundo Kavu

Senior Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
186
Reaction score
85
Kitendo cha mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Sir Juma Nature weekend iliyopita baada ya kwenda studio kwenye kipindi cha Saturday Night Live akiwa na ndala na kaoshi, hajakichukulia poa staa huyo.

Licha ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye Facebook kutokana na kitendo hicho, Nature hajaishia hapo na sasa amemchana mtangazaji wa kipindi hicho kwenye wimbo mpya wa TMK Halisi, Fitina.

Katika wimbo huo Nature anachana, "Halafu watu wengine sijui wanakuwaga ni mapimbi, eti msanii kaingia studio na ndala na amevaa pensi hakujua anayosema kwenye Facebook na Twitter sijui kisa hela alizopewa na mameneja feki wasiopenda wa Uswazi, mzomeeni huyo, sasa kazi kwake na raia wake."
 
Ndala ni za kuendea bafuni, chanel five wapo sahihi. hata makao makuu ya JWTZ Ngome ukienda umevaa Jeans huruusiwi kuingia getini. kila sehemu na utaratibu wake. Miaka ya nyuma nilishawahi kukataliwa kuingia Le Grand Casino nilikuwa nimevaa pensi.
 
Mh!
Pengine hata kupajua hupajui.

Usiyempenda Kaja
 
Juma Nature kaonyesha uhalisia wa Muafrika sasa mtangazaji alitaka aende kavaa suti? Mtoto wa kiumeni nimekukubali kwa hiyo Verse uliyompa huyo Sharo!
 
Huyo mtangazaji anaonekana kama kapagawa! Anahitaji kurekebishwa!
 
Kitendo cha mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Sir Juma Nature weekend iliyopita baada ya kwenda studio kwenye kipindi cha Saturday Night Live akiwa na ndala na kaoshi, hajakichukulia poa staa huyo.

Licha ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye Facebook kutokana na kitendo hicho, Nature hajaishia hapo na sasa amemchana mtangazaji wa kipindi hicho kwenye wimbo mpya wa TMK Halisi, Fiti

bu kwa
PHP:
sii utaarabu kuvaa hivyo then unaenda ofsin kwa watu ukiwa ktk hali hiyo
 
Guyz, EATV hamna kipindi kama hicho. Kipindi ninachofahamu mimi kinaitwa Friday Night Live na siyo Saturday Night Live. Sometimes tusiwe tunatetea au kuunga mkono ujinga. Kweli mtu uingie studio umevaa malapa, pensi na umelewa halafu mtangazaji akuchekee tu! Tusiwe tunadharau ofisi za watu eti kisa we msanii. Ustaarabu ni kila kitu. Angekuwa amevaa vizuri na kichwani yuko vizuri angerudishwa? kwani ni mara ngapi amekuwa akifanya interviews kwenye kipindi hicho hicho akiwa yuko sawa bila kurudishwa?
NB: Zaidi ya kumjua Sam kupitia vipindi anavyoendesha, sina uhusiano wowote naye. Kama vipi na yeye ajitokeze aeleze yake.
 
Ndio matatizo ya wabongo nguo za kulalia tunavaa ofisini..za beach tunaenda nazo kanisani..full vituko kila mahali...
Wengine itakuwa ni cha Arusha
252354154875446_1486292131.jpg

google facebook na makampuni mengi ya it ya nje wewe njoo umevaa vyovyote wao hawana noma

tena google ndio wamekwenda mbali kabisa kuwa unaweza ingia na mbwa wako kazini, paka wako, watoto wako wakawa wanacheza wakati wewe unaendelea na kazi zako the reason behind ni kuwa everyone has got an idea

kuhusu swala la necha kuingia na kaoshi mkuu mbona
wenzetu huko watu kama kina
t.i , gucci mane wanaingia na kaoshi plies huwa anafika mbali kabisa kwa kuvua shati kwenye interview

wanasema eti necha alikuwa high sijawahi kuona interview ya wiz khalifa ambayo hayuko high zote wanakuwa high

anyway necha wamepata wa kumuonea sawa ni maadili ila swali langu ni hili

wiz khalifa angekuja na kaoshi pale akiwa na bangi zake kicwani je sam misago angemfukuza??
 
sijaona tatizo kwenye mavazi labda kama alikuwa amelewa chakari! ....
 
..... Swali zuri!
 
bu kwa
PHP:
sii utaarabu kuvaa hivyo then unaenda ofsin kwa watu ukiwa ktk hali hiyo

ata ningekuwa mimi nisinge kuruusu ungeishia uko uko mapokezi juma ni wenge za bia zina mtatizaa.
 
252354154875446_1486292131.jpg

google facebook na makampuni mengi ya it ya nje wewe njoo umevaa vyovyote wao hawana noma

tena google ndio wamekwenda mbali kabisa kuwa unaweza ingia na mbwa wako kazini, paka wako, watoto wako wakawa wanacheza wakati wewe unaendelea na kazi zako the reason behind ni kuwa everyone has got an idea

kuhusu swala la necha kuingia na kaoshi mkuu mbona
wenzetu huko watu kama kina
t.i , gucci mane wanaingia na kaoshi plies huwa anafika mbali kabisa kwa kuvua shati kwenye interview

wanasema eti necha alikuwa high sijawahi kuona interview ya wiz khalifa ambayo hayuko high zote wanakuwa high

anyway necha wamepata wa kumuonea sawa ni maadili ila swali langu ni hili

wiz khalifa angekuja na kaoshi pale akiwa na bangi zake kicwani je sam misago angemfukuza??

yani mkuu umemwaga points tupu
 
Mbona Jay z alivaa sweta pale Diamond Jubilee,ni ustaarabu gani kuvaa vile na joto lote la bongo.Au mmesahau?
 
Back
Top Bottom