Kivyovyote vile Yanga SC hamfungi Simba SC Jumamosi

Kivyovyote vile Yanga SC hamfungi Simba SC Jumamosi

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Simba anashinda Jumamosi iwe ndani ya 90 minutes au penalty.

E5EA1E5E-5BAF-4279-B2E5-0212C5938CD8.jpeg
 
Utopolo atapigwa sio chini ya 3+ ukibisha njoo nimekaa hapa maili moja stand kibaha
 
Mimi Nitakuwa Hapa Omurushaka, Kayanga Karagwe Nakunywa Juice Ya Mlanda Wakati Simba Inamfunga Yanga Kwa Ushindi Wowote Ule
 
Mimi hapa sina neno Utopolo mechi ya derby wanakamia kama hawatacheza maisha yao yote
 
Yanga wanajiamani sana kwamba watawafunga simba ila hyo safari hii hakunaaa mtafungwaaa vibaya sana nyie vinye fc
 
Back
Top Bottom