Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
SawaHii thread utaikimbia mpira ukiishaa hyo jumamosi...... tutaifukua nakuambia.
Mlishajizika na jeneza lenu mliloleta uwanjani, Kilichobaki ni kuwaandalia udongo wa kuwafukia tu
Salamalekoo..... wanathiiiimbaa. Nilikuambia kakaSawa
Koh koh koh.... yaw yaw....Yanga wanajiamani sana kwamba watawafunga simba ila hyo safari hii hakunaaa mtafungwaaa vibaya sana nyie vinye fc
Naona umeamua kunigongea misumari kila comment yangu. Haya bwana nchi yenu hiii kijani n njanoKoh koh koh.... yaw yaw....
Babra atuachie timu yetu [emoji31][emoji31]
Au siyo🤣🤣🤣🤣
😪😪Au siyo🤣🤣🤣🤣