Mjifunze kutunza maneno ndugu zanguπͺπͺ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NyieeeUtopolo atapigwa sio chini ya 3+ ukibisha njoo nimekaa hapa maili moja stand kibaha
Ameshinda njaa
Bora uliliona hilo mapema " Penalty mbali sana..."
Njoo jieleze hukuYanga wanajiamani sana kwamba watawafunga simba ila hyo safari hii hakunaaa mtafungwaaa vibaya sana nyie vinye fc
Hii thread utaikimbia mpira ukiishaa hiyo Jumamosi...... tutaifukua nakuambia.
Unasemaje sasa?