Kiwanda cha Joyce Kiria

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
2,828
Reaction score
3,579
Kama si ushamba wangu wa kushindwa kutumia technology kama nyie akina dotcom ningeweka hiyo video yake hapa! Kwa kweli kama ukombozi wa mwanamke ndio huu basi ni shida kubwa hii. Bibie anatangaza kwenye clip ya video aliyotuma kwenye whatsapp kuwa amejikomboa kwa kuachika, yuko free. Kisha akatangaza dau kwa wanaotuma requests, wanaomtaka! Ndiyo kiwanda chake eti!
 
hakuna kitu pale.
yule tayari upstairs - ni psychiatric case ile!
 

Huwezi kuwa na KIDOMODOMO kama huyu dada na ukafanikiwa kuitwa mke wa mtu labda mume awe bwege kwelikweli
 
Ila Wanaume na sisi tunashida sana.., hv fupa limemshinda Mwenzako ambae ndo lilikuwa chaguo la Ujana wake ww ndo unalikimbilia bila kujuwa kuwa interest za Wanaume zinashabihiana hivyo kama Mwenzako ameutuwa yakupasa ujitafakari Mara 3 tatu kabla ya kwenda kuyavagaa..,
 
Huyo jamaa labda alijipima dhidi ya mume wa awali akajiona kuwa fupa analiweza, kwamba aliyeondoka ni mbwa na yeye ni fisi. Sasa fupa limemshinda hata fisi, ndio basi tena sijui nani ataliweza!
 
Wenye mawasiliano naye mshaurini, ajiunge na JF kama sio member, huku kuna jukwaa la "lavu konekiti" anaweza kupata mwenza
 
Kweli mwanaume kifua sio cha kubeba vyuma, cha kubeba matatizo na kuvumilia, hapa inethibitika hivyo, huyu dada kunalaana inamnyemelea akatubu kwa sababu mme wake yupo kimya naye kwa nn asikae kimya ajui kuwa jibu la mjinga ni kukaa kimya?
 
Kiki kutembea na staa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…