Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Kama si ushamba wangu wa kushindwa kutumia technology kama nyie akina dotcom ningeweka hiyo video yake hapa! Kwa kweli kama ukombozi wa mwanamke ndio huu basi ni shida kubwa hii. Bibie anatangaza kwenye clip ya video aliyotuma kwenye whatsapp kuwa amejikomboa kwa kuachika, yuko free. Kisha akatangaza dau kwa wanaotuma requests, wanaomtaka! Ndiyo kiwanda chake eti!