Kiwanda cha Joyce Kiria

Kiwanda cha Joyce Kiria

Mwana alivyoukosa ubunge tu penzi likaingia mchanga! hata hivyo kajitahidi sana miaka miwili na Nusu tangu uchaguzi upishe, hii inanitia hofu kwamba labda kuna katumaini ambako kalikua kamebakia.

Hata hivyo
Joyce analeta TABASAM kwa watanzania wengi sana hasa kina mama ambao maisha sio rafiki kwao.
Kongole zako dada Joyce,
 
Akaunge foleni kwa Makonda tu sasa. Ndicho kilichobaki.
 
Huyo jamaa labda alijipima dhidi ya mume wa awali akajiona kuwa fupa analiweza, kwamba aliyeondoka ni mbwa na yeye ni fisi. Sasa fupa limemshinda hata fisi, ndio basi tena sijui nani ataliweza!
Duh hii kali sana
 
Kama si ushamba wangu wa kushindwa kutumia technology kama nyie akina dotcom ningeweka hiyo video yake hapa! Kwa kweli kama ukombozi wa mwanamke ndio huu basi ni shida kubwa hii. Bibie anatangaza kwenye clip ya video aliyotuma kwenye whatsapp kuwa amejikomboa kwa kuachika, yuko free. Kisha akatangaza dau kwa wanaotuma requests, wanaomtaka! Ndiyo kiwanda chake eti!
Mh
 
Anaaibisha sana kabila la wachaga huyu dada, mtu mzima kabisa lakini utadhani bado hajavunja ungo
 
Kama ni kuaibisha wachaga huyo ameunga tela tu, wapo wengi walioanza kabla yake. Siku hizi wachaga maCD wapo wa kumwaga kila kona. Enzi tunakua sisi wahaya ndio walikuwa na biashara hiyo. Nakumbuka tulipokuwa tunasoma Umbwe (1982-1985) treni ilikuwa inatumwaga Moshi mjini alfajiri halafu lori la shule linatuchukua kutupeleka shuleni. Wale baadhi yetu waliokuwa watundu walikuwa wanatoroka stesheni pale kabla lori ya shule haijaja, wanaingia mitaa ya mafuta street kwa wahaya wanafanya yao halafu wanaenda shule kwa nauli zao jioni, muda wa pickup za wakibosho kurudi migombani.
Siku hizi hali ni tofauti, wachaga ndio wameshika chati kwenye hizo dili, na tena wapo kote kuanzia wale wa bei chee wa Buguruni hadi wale wenye business cards na hadhi za kibalozi!
 
ukweli mchungu.
 
Aende zake huko, Hakutakata mtoni, BAFUNI ATAWEZA?
 
Ila Wanaume na sisi tunashida sana.., hv fupa limemshinda Mwenzako ambae ndo lilikuwa chaguo la Ujana wake ww ndo unalikimbilia bila kujuwa kuwa interest za Wanaume zinashabihiana hivyo kama Mwenzako ameutuwa yakupasa ujitafakari Mara 3 tatu kabla ya kwenda kuyavagaa..,
Kwani watu wanataka Kuoa? wanakagau nyeti zake tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama si ushamba wangu wa kushindwa kutumia technology kama nyie akina dotcom ningeweka hiyo video yake hapa! Kwa kweli kama ukombozi wa mwanamke ndio huu basi ni shida kubwa hii. Bibie anatangaza kwenye clip ya video aliyotuma kwenye whatsapp kuwa amejikomboa kwa kuachika, yuko free. Kisha akatangaza dau kwa wanaotuma requests, wanaomtaka! Ndiyo kiwanda chake eti!
katangaza dau bei gani labda naweza kuimudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko mmoja mtaani hapa alipata dili lake sijui wapi akajiona ametajirika. Akamkimbia mume, akaenda akajenga nyumba yake akahamia. Mume anasema hata hajagombana na mkewe, alishangaa tu karudi kazini kakuta mwenzie kafungasha.
Leo hii ni mwaka wa tatu wakiwa separate, zimekuja taarifa mke yuko mahututi Muhimbili, mwezi mzima hajitambui. Ndugu zake wanarudi wanataka shemeji yao akapatane na mgonjwa mahututi! Lakini namsifu yule bwana, kila siku yuko hospitalini anamhudumia mkewe licha ya yote yaliyotokea.
 
Back
Top Bottom