Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
matunda yanapatikana yakutosha.Fanya feasibility study vizuri then andika business plan. Issue pia ya upatikanaji matunda angalia pia it's possible?
Unaweza sana, anza kwa kiasi kwanza nunua juice extractor (approximately 6m) au brenda kubwa ile ya 1.2m, juice filters, boiling tanks (800,000) kwa ajili ya pasteurization,pw bottle wrappers (laki 2 au 3), nunua portable bottle fillers vyote unapata toka Alibaba au Amazon ukiwa na 20m unaweza kuanza kwa kutengenezea juice za kiwandani.Wakuu habari. Nafikiria kuanzisha kiwanda cha juisi za maembe, passion na miwa. Naomba mwenye uzoefu anisaidie kuwa pamoja na kuwa na matunda hayo, ni vitu gani vingine natakiwa kuwa navyo na ni mambo gani ya kuzingatia?
Asanteni.