Kiwanda cha Juisi ya matunda halisi

Kiwanda cha Juisi ya matunda halisi

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,186
Reaction score
7,492
Wakuu habari. Nafikiria kuanzisha kiwanda cha juisi za maembe, passion na miwa. Naomba mwenye uzoefu anisaidie kuwa pamoja na kuwa na matunda hayo, ni vitu gani vingine natakiwa kuwa navyo na ni mambo gani ya kuzingatia?

Asanteni.
 
Ni vizuri ukasema umejiandaaje na unanini kwa kuanzia...
 
Fanya feasibility study vizuri then andika business plan. Issue pia ya upatikanaji matunda angalia pia it's possible?
 
Mku tulia kwanza
Maana kwenye kujieleza tu umeishafeli,ila usikate tamaa
Ila jipange na not less than 500m,kwa kiwanda kidogo cha kijasiriamali
 
Wakuu habari. Nafikiria kuanzisha kiwanda cha juisi za maembe, passion na miwa. Naomba mwenye uzoefu anisaidie kuwa pamoja na kuwa na matunda hayo, ni vitu gani vingine natakiwa kuwa navyo na ni mambo gani ya kuzingatia?

Asanteni.
Unaweza sana, anza kwa kiasi kwanza nunua juice extractor (approximately 6m) au brenda kubwa ile ya 1.2m, juice filters, boiling tanks (800,000) kwa ajili ya pasteurization,pw bottle wrappers (laki 2 au 3), nunua portable bottle fillers vyote unapata toka Alibaba au Amazon ukiwa na 20m unaweza kuanza kwa kutengenezea juice za kiwandani.
 
Back
Top Bottom