MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,391 Mar 3, 2010 #1 Wanajamii kama kuna yoyote mwenye habari juu ya kiwanda hiki cha karatasi Mgololo atueleze kwani kuna uvumi kuwa kimesimama uzalishaji karibu mwezi sasa kutokana na kutokuelewana kwa bei ya magogo na wizara ya misitu.
Wanajamii kama kuna yoyote mwenye habari juu ya kiwanda hiki cha karatasi Mgololo atueleze kwani kuna uvumi kuwa kimesimama uzalishaji karibu mwezi sasa kutokana na kutokuelewana kwa bei ya magogo na wizara ya misitu.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Mar 4, 2010 #2 Kwani bado kilikuwa hai?
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Apr 16, 2016 #3 Bongo ukiwa na hela raha