Kiwanda cha karatasi mgololo kimefungwa?

Kiwanda cha karatasi mgololo kimefungwa?

MANI

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2010
Posts
7,318
Reaction score
6,391
Wanajamii kama kuna yoyote mwenye habari juu ya kiwanda hiki cha karatasi Mgololo atueleze kwani kuna uvumi kuwa kimesimama uzalishaji karibu mwezi sasa kutokana na kutokuelewana kwa bei ya magogo na wizara ya misitu.
 
Back
Top Bottom