ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Lete habari Na chanzo, habari ulete wewe halafu tuanze kuangaika na chanzo, kuna vitu vingi vya kufanya, ni wajibu wa mtoa mada kuleta chanzo hapaNdiyo unafundishwa sasa jinsi ya kujua chanzo hata kama mtu hajatoa chanzo.
Kuipenda Russia haimaanishi kuwa uwe kikapu au andazi