Tanzania inazindua kiwanda kikubwa cha kusindika nyama katika EAC.
TanChoice itakuwa na uwezo wa kuchinjia na kusindika ng'ombe 1,000 na mbuzi 4,500 na kondoo kwa siku kwa kutumia vifaa vya hali ya juu.
Full usanii, hapo wanatafuta Kura za mikoa ya wafugaji kama vile Arusha, Manyara etc kwa viwanda hewaParkers imekua ni viwanja vya mahubiri, hawa watu ni wasanii sana haijapata kutokea
kipo wapi hicho ?, au ndo kile ambacho nyimbo zake ni za kitambo sana tangu zisikike.
Mtaa wa ufipa jirani na ofisi za Sacco's
Huyu kaamua kufungua kiwanda chake. Wewe kama una uchungu na Tanganyika Packers nenda ukakifufue.Fufueni kwanza Tanganyika Parkers
Mwalimu alishaweka kiwanda kikubwa tu hapo Kawe DSM, mkakiua sasa mnataka promo kwa vitu ambavyo kama Taifa tayari tulishaviachieve. Naona mko busy kure-invent the wheel
Kumbe Soga ipo kibaha, huwa naona sgr station tu
Kumbe Soga ipo kibaha, huwa naona sgr station tu
Hatimae kiwanda cha funguliwa rasimiTanzania inazindua kiwanda kikubwa cha kusindika nyama katika EAC.
TanChoice itakuwa na uwezo wa kuchinjia na kusindika ng'ombe 1,000 na mbuzi 4,500 na kondoo kwa siku kwa kutumia vifaa vya hali ya juu.
Kama tumefikia hatua ya kujisifu kwa kuzindua kakiwanda kamoja, kweli siku zonasonga kwa kasi.Tanzania inazindua kiwanda kikubwa cha kusindika nyama katika EAC.
TanChoice itakuwa na uwezo wa kuchinjia na kusindika ng'ombe 1,000 na mbuzi 4,500 na kondoo kwa siku kwa kutumia vifaa vya hali ya juu.
Mtu kwao,kama mtanzania ni furaha kupata kiwanda hiki na ni kikubwa kwa size ya matakwa yetu.Sio fake news ni kiwanda kilichopo Vigunguti karibu kabisa na machingio ya zamaniTena hawakawii kusema hiki ni kiwanda cha kwanza duniani kwa ukubwa na kinakua cha kwanza kujengwa tanzania, hawa watu kwa kujisifu wanampita hata shetani!
Kipo Vingunguti tena?? Siyo Soga??Mtu kwao,kama mtanzania ni furaha kupata kiwanda hiki na ni kikubwa kwa size ya matakwa yetu.Sio fake news ni kiwanda kilichopo Vigunguti karibu kabisa na machingio ya zamani
chenye mitambo ya kisasa na kitakachokuwa na uwezo wa kuchinja ngombe 1000 kwa siku.
Si hayo tu machinjio ya zamani yalikuwa hafifu,machafu yaliokuwa yakihatarisha wananchi wa maeneo hayo
Vigunguti pala pale pa machinjio ya zamani,mimi nilikiona kwa nje.au kikiwa bado wanafanya installation ya mitambo one month ago.Kama ni Soga basi ni kingineKipo Vingunguti tena?? Siyo Soga??
Everyday is Saturday......................... 😎