Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Uwe na siku njema.Old man, alikuwa analima Dakawa kwa ajili ya kiwanda kipi??
Coz wakulima walihamasishwa wilaya zinazopakana za Mvomero mpaka Kilosa...
Huyu old man alilima eka ngapi kama 20,000 au eka laki 1 zote miwa??
Everyday is Saturday............................... 😎