Acha kuhamisha magoli,fungua thread ya Tanganyika Packers tutajadiliFufueni kwanza Tanganyika Parkers
Mwalimu alishaweka kiwanda kikubwa tu hapo Kawe DSM, mkakiua sasa mnataka promo kwa vitu ambavyo kama Taifa tayari tulishaviachieve. Naona mko busy kure-invent the wheel
Naomba unjjuze mkuu,hivi,mwekezaji wa hiki kiwanda anatko nchi gani?alafu,hiki kiwanda ni branch,au vp?Hatimae kiwanda cha funguliwa rasimi
Hongereni TANCHOICE nakumbuka jinsi kilivoanza kujengwa na mm nikiwa miongoni mwa mafundi pale kiwandani tangu mwanzo mwa msingi hadi hatua ya upakaji rangi na upauaji dah!
Mzee mmoja anaitwa mzee Dominic na Mr Jonas duh?
Hongereni sana
Kiwanda nakielewa vizuri sana na ni bonge la kiwanda kwa EAC na nimenufaika pa kubwa sana kutokana na ujenzi wa kiwanda hiki na sio machinjio kama mnavyobeza humu JF, tembeleeni Pwan msijifiche nyuma ya keyboard na kuanza kubeza kinyambafu namna hii mnakera sana enyi watu,
TANCHOICE ipo Soga Kibaha ukiwa unatoka Dar unashuka Kongowe Kibaha, unachukua bodaboda au kuna bajaji pia wanakupeleka Soga
Ukifika ulizia Ilipo karakana ya YAPI MERKEZ,
Ukifika hapo kwa Waturuki ali maarufu YAPI MERKEZ kiwanda utakiona tu kipo kwa pembeni yake tu
Wamiliki ni Wasomali
Viva JPM kwa kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji
Asante sana wakuu
Kuna kikubwa kuliko hicho kiko mwanza usagara kilifunguliwa kwa mbwembwe uniform za ccm...sasa hivi mmiliki kaelemewa na madeni kinasuasua
Kuna kikubwa kuliko hicho kiko mwanza usagara kilifunguliwa kwa mbwembwe uniform za ccm...sasa hivi mmiliki kaelemewa na madeni kinasuasua
Mbigiri wanalima miwa miaka yote. Nimesoma Dakawa High School miaka ya 90, miwa tulikuwa tunafuata Mbigiri na Magole.Haukawii kukuta ni machinjio, wanasema kiwanda, π
Kiwanda cha sukari chafunguliwa Mbigiri, wakulima wakaacha kulima mpunga wakalima miwa, kilichowapata.. π
Yaani imefika mahali ngumu kuamini hivi vitu π
Everyday is Saturday...........................π
Kama hiki ndio kiwanda cha nyama kikubwa EAC, basi viwanda vya nyama EAC viko kwenye nyumba za kuishi watu. Na huo ukubwa ni wa eneo au mitambo? Kama ni eneo waongezeni eka 50 kiwe kikubwa duniani Kurugeni ya Habari ipate jambo la kumsifia raisi!
ng'ombe 1000 mbuzi 4500 kwa siku duuh hawa viumbe miaka 10 ijayo watakua wametowekaTanzania inazindua kiwanda kikubwa cha kusindika nyama katika EAC.
TanChoice itakuwa na uwezo wa kuchinjia na kusindika ng'ombe 1,000 na mbuzi 4,500 na kondoo kwa siku kwa kutumia vifaa vya hali ya juu.
Kama hiki ndio kiwanda cha nyama kikubwa EAC, basi viwanda vya nyama EAC viko kwenye nyumba za kuishi watu. Na huo ukubwa ni wa eneo au mitambo? Kama ni eneo waongezeni eka 50 kiwe kikubwa duniani Kurugeni ya Habari ipate jambo la kumsifia raisi!
Hujajiuliza wanazaliwa wangapi kwa siku? Kuna watu huko wana ng'ombe zaidi ya 1000 unafikiri kwa siku wanazaa wangapi kati ya hao 1000 tu? Na hio 1000 inaweza kuwa ni uwezo wa kiwanda sio lazima wachinje hao 1000 kila siku.ng'ombe 1000 mbuzi 4500 kwa siku duuh hawa viumbe miaka 10 ijayo watakua wametoweka
i was just thinkingHujajiuliza wanazaliwa wangapi kwa siku? Kuna watu huko wana ng'ombe zaidi ya 1000 unafikiri kwa siku wanazaa wangapi kati ya hao 1000 tu? Na hio 1000 inaweza kuwa ni uwezo wa kiwanda sio lazima wachinje hao 1000 kila siku.
Kiwanda Cha Nini hiki
Naomba unjjuze mkuu,hivi,mwekezaji wa hiki kiwanda anatko nchi gani?alafu,hiki kiwanda ni branch,au vp?
Kipo vingunguti au kipo soga?Mtu kwao,kama mtanzania ni furaha kupata kiwanda hiki na ni kikubwa kwa size ya matakwa yetu.Sio fake news ni kiwanda kilichopo Vigunguti karibu kabisa na machingio ya zamani
chenye mitambo ya kisasa na kitakachokuwa na uwezo wa kuchinja ngombe 1000 kwa siku.
Si hayo tu machinjio ya zamani yalikuwa hafifu,machafu yaliokuwa yakihatarisha wananchi wa maeneo hayo
Mkuu miwa siyo ya kutafuna, au kukamua juice mitaani, bali miwa ililimwa kama malighafi ku feed kiwanda, ukulima wake siyo wa kitoto...mashamba kwa mashamba.Mbigiri wanalima miwa miaka yote. Nimesoma Dakawa High School miaka ya 90, miwa tulikuwa tunafuata Mbigiri na Magole.
Huko pwani kuna viwanda vya vitu gani ukiacha hiki cha nyama?Ok
TANCHOICE wanakiwanda kidogo kidogo dodoma lkn si kikubwa kama hiki kilichopo Soga Kibaha,
Mmiliki ni Msomali lkn anaishi Dubai kashirikiana na Msomali mwenzie kwa share kiasi ila top mwenye hisa kubwa yupo Dubai
Mshirika wake pia anaishi Marekani ila hapa bongo ana biashara zake tu kubwa hapo Kariakoo jijini Dar
So waliweka pesa ya kutosha pale Soga kwa ajili ya kujenga hicho kiwanda na kuwa center kubwa ya kiwanda chao EAC na kiuhakika hiki kiwanda ni kikubwa mno kwan nakifahamu mwanzo mwisho ijapo sasa nimetoka pale kwa maana ya kumaliza kazi yangu ya ujenzi
Wasomali wamejiwekeza sana pale kwa maana ya kiwanda na si machinjio kama wanvosema wengine humu ndani,
Tembeleeni pwani mujionee viwanda vinavohubiriwa vimejengwa na ili muamini kwa macho.
Kifupi Pwani viwanda vimejengwa na wala sio blabla kama mzanivyo.
Serikali imejitahidi mno kama sekta ya viwanda ijapo vingi bado vinaendelea kujengwa na vingine vipo hatua za mwisho mwisho kukamilika
Hope kuanzia mwakani nadhani utiriri wa viwanda utaanza kufanya kazi na nadhan hata vijana wengi watapata kazi viwandani
Asante
NB: tembelea pwani uone kama ni ukweli ama uongo kwa maana najua wengi tunapinga pasipo kujua lolote lile
Naamini hujui uandikalo. Lakini wapo watakaokuamini. Mimi nilikuwa Dakawa High School enzi za "An Oldman" Mzee Kijame (sasa hivi anaishi Dumila baada ya kustaafu).Mkuu miwa siyo ya kutafuna, au kukamua juice mitaani, bali miwa ililimwa kama malighafi ku feed kiwanda, ukulima wake siyo wa kitoto...mashamba kwa mashamba.
Everyday is Saturday.............................. π
Kwahiyo alienda kujenga mahali umeme hakuna?maji si unadrill tu tena ni cheap kuliko kutumia ya serikali....kwa ulivyosema huo mkopo utamshindaChobo Investment... ndio hivyo ushaona kuna siasa hapo ..
Mwekezaji alikuwa anataka eneo la malisho na kupitisha ng`ombe halmashauri ikawa inamzingua.. halafu ishu ya umeme na maji ilikuwa inaongeza gharama za uzalishaji sana nadhani ndio maana ilikuwa ngumu ku survive. Ila kwa sasa wanaweza ku operate maana miradi ya maji na umeme pande hizo imeshika kasi sana.
Old man, alikuwa analima Dakawa kwa ajili ya kiwanda kipi??Naamini hujui uandikalo. Lakini wapo watakaokuamini. Mimi nilikuwa Dakawa High School enzi za "An Oldman" Mzee Kijame (sasa hivi anaishi Dumila baada ya kustaafu).