Hawa ndo wanatengeneza sausage za Tanbeef ama ni kampuni tofauti?.Ok
TANCHOICE wanakiwanda kidogo kidogo dodoma lkn si kikubwa kama hiki kilichopo Soga Kibaha,
Mmiliki ni Msomali lkn anaishi Dubai kashirikiana na Msomali mwenzie kwa share kiasi ila top mwenye hisa kubwa yupo Dubai
Mshirika wake pia anaishi Marekani ila hapa bongo ana biashara zake tu kubwa hapo Kariakoo jijini Dar
So waliweka pesa ya kutosha pale Soga kwa ajili ya kujenga hicho kiwanda na kuwa center kubwa ya kiwanda chao EAC na kiuhakika hiki kiwanda ni kikubwa mno kwan nakifahamu mwanzo mwisho ijapo sasa nimetoka pale kwa maana ya kumaliza kazi yangu ya ujenzi
Wasomali wamejiwekeza sana pale kwa maana ya kiwanda na si machinjio kama wanvosema wengine humu ndani,
Tembeleeni pwani mujionee viwanda vinavohubiriwa vimejengwa na ili muamini kwa macho.
Kifupi Pwani viwanda vimejengwa na wala sio blabla kama mzanivyo.
Serikali imejitahidi mno kama sekta ya viwanda ijapo vingi bado vinaendelea kujengwa na vingine vipo hatua za mwisho mwisho kukamilika
Hope kuanzia mwakani nadhani utiriri wa viwanda utaanza kufanya kazi na nadhan hata vijana wengi watapata kazi viwandani
Asante
NB: tembelea pwani uone kama ni ukweli ama uongo kwa maana najua wengi tunapinga pasipo kujua lolote lile
Nimekuelewa. Lakini kwa utaratibu na hali ya soko la nyama hapa nchini, usishangae wakakosa mali ghafi za kiwango. Hoja yangu ni ngumu kuielewa!Hiki kiwanda sio mali ya serikali bali ni mwekezaji
So uendeshaji wa mtu binafsi naamin unajua jinsi atavotaka kurudisha fedha yake,
So serikali imeitwa kwenda kuzindua tu kwani wizara yenye mamlaka ni wajibu wake kukitangaza na kuwatangazia watanzania ili wajue watapata wapi soko la mifugo yao na fursa zingine kama ajira,
Sasa huko mkoa wa pwani kuna Ng'ombe zaidi ya Shinyanga ambako kuna kiwanda cha nyama ambacho kilikuwa hakijamalizika kujengwa kwasababu ya ufisadi? Kwanini hamkufanya mpango wa kuvimaliza viwanda vya nyama ambavyo vilianzishwa lakini havikukamilishwa? What was your motivation?
Natamani kuona ule msafara wa malori ulio jaa ng'ombe wakipelekwa Kenya unaisha, yaani ntafurahi mno,kila napokua nasafiri kwenda kwetu tarime,huwa nakutana hii misafara,huwa naumia sana.Watanzania tuna asili ya ubishj hata kama kitu kinaonekana, mifano ipo hai sana na vitu vipo wazi lkn bado unakuta mtu anabeza na kudharau sana kana kwamba ni vitu vya kawaida tu kama vile tulikuwa navyo,
Kiukweli Tz hatuna uzalendo wa maendeleo tunayoyauna hivi leo zaidi ya kubeza na matusi bila kutaka kujua mambo zaidi
Chalinze kuna viwanda kibao tu kule na vipo ndani ndani maaana kuna mtu anaweza sema mbona havionekan akiwa ana pita pale barabarani
Lkn Pwani imejikuta imezungukwa na kila ya kiwanda aisee
Serkali imefanya mazingira ya uwekezaji kuwa rafki sana kwa wawekezaji wa ndani na nje hasa sekta ya viwanda,
Utashi wa kijinga kabisa huu wa kupenda kusifiwa na kuabudiwa kama Mungu. Na ndiyo maana nikakuambia kuwa 'if you live off people's praise, criticism will destoy you! Unapopenda kusifiwa na kuabudiwa kubali pia kukosolewa na kudhaurauliwa. Wahenga walisema debe tupu haliachi kuvuma. Ukifanya mazuri huna haja ya kupaza sauti ili watu waone. Hata ukimya au sauti ndogo inaweza kuwa kufanya watu waone kuliko kupayuka. Ni kweli kila mtu ana utashi wake lakini huu utashi mwingine ni kama laana.
Mkuu, uwe na uwezo wa kutafiti mambo kwa kina! Issues zote za umma zinapofanyika zinawekwa kwenye mfumo wa kampeni badala ya ushindani!!!! Kuna viongozi waliopita wamefanyia nchi hii makubwa tuuu nayo tusiyabeze! Ukisema unapato la Tr. kadhaa kwa mwezi huku viwanda vingi ni vya wawekezaji na teknolojia yao na pesa zao, mwingine alipata just milions kwa mwezi,akajenga viwanda na katumia technologists wake wachache! Who is greater thinker for the prosperity of our community?Watu hawana jema. Yaani kiwanda kipya kimejengwa watu wanaponda. Waafrika tuna safari ndefu sana.
Sasa mnaolalamika, kama kilikuwepo zamani kimekufa na sasa kipya kimejengwa tatizo liko wapi? kama awamu za nyuma tulipiga hatua kurudi nyuma awamu hii inapiga hatua kurudi mbele tatizo nini?
Hao wapinzani mnaotaka wapewe serikali mnataka waje wafanye nini? wakae waachie hali iliokuwepo iendelee?
Upumbavu tu ndio mnajivisha!
Hiyo misafara haitaisha kwa sababu zilizo wazi! Mwanza kuna viwanda vya nyama,lakini hiyo misafara inapita hapohapo viwandani ikielekea Kenya!!!!Natamani kuona ule msafara wa malori ulio jaa ng'ombe wakipelekwa Kenya unaisha, yaani ntafurahi mno,kila napokua nasafiri kwenda kwetu tarime,huwa nakutana hii misafara,huwa naumia sana.
Sasa wewe ulitaka hao watu binafsi wasijenge viwanda? ATCL imefufuliwa na serikali, mnaipiga vita kila kukicha na kuiombea mabaya.Mkuu, uwe na uwezo wa kutafiti mambo kwa kina! Issues zote za umma zinapofanyika zinawekwa kwenye mfumo wa kampeni badala ya ushindani!!!! Kuna viongozi waliopita wamefanyia nchi hii makubwa tuuu nayo tusiyabeze! Ukisema unapato la Tr. kadhaa kwa mwezi huku viwanda vingi ni vya wawekezaji na teknolojia yao na pesa zao, mwingine alipata just milions kwa mwezi,akajenga viwanda na katumia technologists wake wachache! Who is greater thinker for the prosperity of our community?
Hivyo viwanda vinachinja mifugo wangapi kwa siku mkuu? Ukinijibu,ntakwambia kwanini.Hiyo misafara haitaisha kwa sababu zilizo wazi! Mwanza kuna viwanda vya nyama,lakini hiyo misafara inapita hapohapo viwandani ikielekea Kenya!!!!
Hakuna aliyepinga Maendeleo! Kinachosemwa ni kuwaalert viongozi wetu wawe stratergists zaidi ktk sera ya viwanda! Wataalamu wengi wanaomaliza vyuo vikuu hawamezwi kwenye viwanda hivi! Why? Mfano, SUA kuna kozi ( Bioprocessing engineering nk.) zilianzishwa stratergically kupata wataalami ktk viwanda vya usindikaji mazao ya kilimo na mifugo. Cha ajabu wanapomaliza masomo unawakuta wapo mitaani wanakaanga chips.Sasa wewe ulitaka hao watu binafsi wasijenge viwanda? ATCL imefufuliwa na serikali, mnaipiga vita kila kukicha na kuiombea mabaya.
Nna uhakika, serikali hii ikifufua chochote kilichokufa, mtakuja kukebehi hapa. Lakini upinzani ukifanya ivo ivo mtakuja kusifia.
Double standards tu. Leo hii tawala zilizopita mnaziona zilikuwa na great thinkers for the prosperity of our community? Wakati mlikuwa mkikesha kuziponda.
Hebu unafiki uwekwe pembeni kwanza
Chobbo maximum ngombe 1200 kwa siku. Leo ukifika unaweza kuta wanachinja 20 kwa mwezi au kwa order maalumu. Alfachoice pale Magu almost kama sijakosea hawachinji au wanachinja kidogo sana kwa siku! Hiyo ni mifano miwili tuu. Na kwa mantiki hiyo sishangai kusema viwanda hivi vya nyama vilihitaji vijengwe kimkakati zaidi na Serikali ijikite kwenye kupromote soko. Mfano Kenya kuna KMC ambayo inatumika na Serikali kusimamia marketing policy ya nyama from primary to tertiary production. Hapa kwetu tuna Bodi ya Nyama yenye kazi ya kupiga faini kwa watumia magogo ya kucharangia. Na wengi wao ni non- experienced personel. Hii KMC ya Kenya ndiyo nguzo ya biashara ya mifugo na viwanda vya nyama . Inafanana sana na BMC ya Botswana.Hivyo viwanda vinachinja mifugo wangapi kwa siku mkuu? Ukinijibu,ntakwambia kwanini.
Hii kusema kuna viwanda kibao bila kusema vinazalisha nini ndio inaleta kutokuaminika, kwa mfano mimi nasema kuna kiwanda cha kuzalisha vigae, viroba na hiki cha nyamaWatanzania tuna asili ya ubishj hata kama kitu kinaonekana, mifano ipo hai sana na vitu vipo wazi lkn bado unakuta mtu anabeza na kudharau sana kana kwamba ni vitu vya kawaida tu kama vile tulikuwa navyo,
Kiukweli Tz hatuna uzalendo wa maendeleo tunayoyauna hivi leo zaidi ya kubeza na matusi bila kutaka kujua mambo zaidi
Chalinze kuna viwanda kibao tu kule na vipo ndani ndani maaana kuna mtu anaweza sema mbona havionekan akiwa ana pita pale barabarani
Lkn Pwani imejikuta imezungukwa na kila ya kiwanda aisee
Serkali imefanya mazingira ya uwekezaji kuwa rafki sana kwa wawekezaji wa ndani na nje hasa sekta ya viwanda,
Kama ndio hivo sioni sababu ya kuwa na vimachinjio vichafu kama vya kimara, tegeta, mbagala na vingunguti katkati ya jiji. Wakachinjie huko.Tanzania inazindua kiwanda kikubwa cha kusindika nyama katika EAC.
TanChoice itakuwa na uwezo wa kuchinjia na kusindika ng'ombe 1,000 na mbuzi 4,500 na kondoo kwa siku kwa kutumia vifaa vya hali ya juu.
Choboni Corona ndio umeharibu biashara, ndege zote zilifungwa muda mrefu na yeye hutegemea kuuza uarabuni na migodiniChobbo maximum ngombe 1200 kwa siku. Leo ukifika unaweza kuta wanachinja 20 kwa mwezi au kwa order maalumu. Alfachoice pale Magu almost kama sijakosea hawachinji au wanachinja kidogo sana kwa siku! Hiyo ni mifano miwili tuu. Na kwa mantiki hiyo sishangai kusema viwanda hivi vya nyama vilihitaji vijengwe kimkakati zaidi na Serikali ijikite kwenye kupromote soko. Mfano Kenya kuna KMC ambayo inatumika na Serikali kusimamia marketing policy ya nyama from primary to tertiary production. Hapa kwetu tuna Bodi ya Nyama yenye kazi ya kupiga faini kwa watumia magogo ya kucharangia. Na wengi wao ni non- experienced personel. Hii KMC ya Kenya ndiyo nguzo ya biashara ya mifugo na viwanda vya nyama . Inafanana sana na BMC ya Botswana.
Halafu kina mwamposa na gwajima watauzia wapi mafuta ya upakoFufueni kwanza Tanganyika Parkers
Mwalimu alishaweka kiwanda kikubwa tu hapo Kawe DSM, mkakiua sasa mnataka promo kwa vitu ambavyo kama Taifa tayari tulishaviachieve. Naona mko busy kure-invent the wheel
Tanchoice ni kiwanda cha muwekezaji binafsi. Hivyo ameamua kujenga hapo kulingana na investment plan yake. Kuna soko la mifugo Ruvu hivyo nadhani supply ya mifugo atapata ya kutosha.
Huko Shinyanga sijajua kiwanda ni cha mtu binafsi au serikali.