Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Mkuu umeshawahi kufika Japan,Japan wanalima sana,katika miji ya Japan kila kona kuna viji-eka unawakuta wanajapan wanalima mpunga na vitu vyengine

"Rice is by far the most important crop in Japan and planted on the best agricultural land. Other crops grown in Japan include soybeans, wheat, barley, and a large variety of fruit and vegetable"....

Mavi ya kale hayuniki kaka.
 
ngoja kwanza tummalize lissu alafu hayo mengine ndio yatafuatia,maana lissu na wenzie ndio wamechelewesha maendeleo ya nchi hii
 
Hofu yako, umasikini wako. Hivi Marekani inatengeneza silaha na mabomu; wateja wao ni wananchi wake!?
Unalinganisha vp ardhi na mbingu mjombaa.
Marekani alipata uhuru karibu miaka 250 ilopita wakati Kenya takriban miaka 50 yaani hawako kabisaa ktk kitabu kimoja.
Ajabu hii
 
Unalinganisha vp ardhi na mbingu mjombaa.
Marekani alipata uhuru karibu miaka 250 ilopita wakati Kenya takriban miaka 50 yaani hawako kabisaa ktk kitabu kimoja.
Ajabu hii
Mkuu, hebu acha basi ubishi wa kijinga usiokua na TIJA; kwani Wakenya hawanunui magari kutoka huko yanakotengenezwaga? Hili jambo mbona kama linakuuma hivi; Umekomaa na Kilimo, hivi unajua kama Carrot zinazo uzwa miji kama MWanza na Mara zinatokea Kenya!? Tanzania kwasasa ki vision inatakiwa kua ya viwanda, so what you mean kwakua hatuna chakula cha kutosha basi tuachane na masuala ya viwanda!? Acha basi mawazo ya kimasikini hayo mkuu.
 
Back
Top Bottom