Kiwanda cha kutengeneza Penseli

Kiwanda cha kutengeneza Penseli

CHEBEPE

Senior Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
103
Reaction score
62
Nina wazo la kuanzisha "factory" ya kutengeneza Pencils. Eneo ninalo, Nyololo, Iringa.
Najaribu kutafiti ni aina gani za Machine na VIFAA vya kufanyia uzalishaji... Pia upatikanaji wa Raw materials hasa grahite na chemicals.

Mwenye Idea na hivyo vitu please, share nami hapa.
 
Back
Top Bottom