Kiwanda cha kutengeneza rainboot (Danlop) kiko wapi?

Kiwanda cha kutengeneza rainboot (Danlop) kiko wapi?

Mfagio

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
672
Reaction score
798
Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam.

Natanguliza shukran.
 
Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam.

Natanguliza shukran.
Check open sanet pale Mandela road Tabata dampo karibu na auto mech.
 
Sema hapa sijui iweje namba za hao wachina nikutumie.
 
Back
Top Bottom