Kiwanda cha mafuta ya mawese

Kiwanda cha mafuta ya mawese

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Natafuta mawasiliano ya kiwanda cha mafuta ya mawese popote kilipo Tanzania. Kiwe kidogo, cha kati au kikubwa.

Asanteni wananzengo.
Spray
 
Kivipi mkuu we uko wapi? Kama unahitaji njoo mororgoro eneo linaitwa mbingu mbele ya ifakara
 
+255 759 476 535

Huyu anatengeneza mafuta ya mise
Muulize mawese anaweza fahamu
 
Back
Top Bottom