Dah,zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine,
Dah,
1,700km ni ndani sana. Mdharau mwiba mguu huota tende ndiyo hiyo sasa.
Putin kazi anayo
Dah,
1,700km ni ndani sana. Mdharau mwiba mguu huota tende ndiyo hiyo sasa.
Putin kazi anayo
Hahaha,Urusi baada ya kuishiwa mbinu, imebakia kuyatishia mataifa ya Ulaya na Ukraine kwa silaha za nuclear.