Kiwanda cha mikanda ya gypsum Iringa

Kiwanda cha mikanda ya gypsum Iringa

Matengura

Senior Member
Joined
May 24, 2020
Posts
104
Reaction score
67
Habari zenu wana JF?

Naomba niende kwenye content moja kwa moja tunaitaji mshirika kwaajiri ya kuendeleza kiwanda chetu cha mikanda ya gypsum ambaye tutamuuzia share kwenye kampuni yetu kilingana na uwekezaji wake kiwanda uzalishaji unaendelea ila tunataka tuongeze nguvu tuwafikie watu wengi zaidi wateja wetu na hardware kwa

Mawasiliano zaidi 0672275317

9eefedb8-11cc-4897-a1ea-9bbb19990798.jpg
 
Habari zenu wana JF?

Naomba niende kwenye content moja kwa moja tunaitaji mshirika kwaajiri ya kuendeleza kiwanda chetu cha mikanda ya gypsum ambaye tutamuuzia share kwenye kampuni yetu kilingana na uwekezaji wake kiwanda uzalishaji unaendelea ila tunataka tuongeze nguvu tuwafikie watu wengi zaidi wateja wetu na hardware kwa

Mawasiliano zaidi 0672275317

View attachment 2321535
Mkuu mimi nipo iringa, sina iyo pesa ila ninavyo vifaa.. mold za mikanda 9, mold za maua 5, mifuko 30 ya gypsum, mbao kwa ajiri ya majukwaa vipi tunaweza kuchangia nguvu?
 
Nitafute kwenye ii namba 0672275317
 
Back
Top Bottom