miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
Wanakuja bossNaomba mwenye uelewa wa kufungua kiwanda cha mikate garama na vifaa vyake vyote vinavyo hitajika anipe ABC
Majiko ya mkaa yanakuwaje mkuu na Bei zake zikoje!Jiko la kuoka mikate, yapo ya umeme, gas, mkaa
Mashine ya kukandia ngano
Mashine ya kukata mikate
Vipima joto (food thermometers)
Chumba safi kilicho na marumaru kwa pande zote za kuta.
Mifuko unaweka oda viwanda husika watakuwekea na nembo,
Unatafuta mtalaam wa kusimamia ubora
Sina uzoefu, tunaupa uzi uhai😁
Naomba kazi ukiazisha... natengenezaga ya mtaani!!!!Naomba mwenye uelewa wa kufungua kiwanda cha mikate garama na vifaa vyake vyote vinavyo hitajika anipe ABC
Hahaaaaa malizia palipobaki mkuu[emoji23]Jiko la kuoka mikate, yapo ya umeme, gas, mkaa
Mashine ya kukandia ngano
Mashine ya kukata mikate
Vipima joto (food thermometers)
Chumba safi kilicho na marumaru kwa pande zote za kuta.
Mifuko unaweka oda viwanda husika watakuwekea na nembo,
Unatafuta mtalaam wa kusimamia ubora
Sina uzoefu, tunaupa uzi uhai[emoji16]
Duuuuh nikajua 10m kianzia
AsanteJiko la kuoka mikate, yapo ya umeme, gas, mkaa
Mashine ya kukandia ngano
Mashine ya kukata mikate
Vipima joto (food thermometers)
Chumba safi kilicho na marumaru kwa pande zote za kuta.
Mifuko unaweka oda viwanda husika watakuwekea na nembo,
Unatafuta mtalaam wa kusimamia ubora
Sina uzoefu, tunaupa uzi uhai😁
Naomba mwenye uelewa wa kufungua kiwanda cha mikate garama na vifaa vyake vyote vinavyo hitajika anipe ABC
Nadhani mnaweza kuwa pamoja lakini mkauza maeneo tofauti, Kuna nchi zina maeneo ya viwanda unakuta viwana 10 vya nguo viko eneo moja na wote wako kwenye biashara wanzalisha na kuuza bila shida.Hivi viwanda kabla hujafungua fanya Research ya Market Share, unless uwe unafunhua eneo jipya kabisa, vimekuwa vingi sana so lazima ujue viko vingapi eneo lako na kila mmoja ana Market share kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo unaweza, na kama hauna mixing dough machine Kwa cake, bread donat karibu tufanye biashara pitia Uzi wangu utapata mawasilianoHivi ukiwa na ile oven na mashine ya kukandia unga si unaweza tengeneza zile skonsi 300 hivi?
Au kingine nini kinahitajika?
Tatizo wengi wanadhani kuanza biashara yoyte lazima uwe na mamilioni ya fedha ndio maana kila siku utasikia wakisema sina mtaji au nasubiri nipate mtaji. Kuanza biashara katika kiwango kidogo kuna faida nyingi sana;Unaweza anza kidogo kidogo home kama mjasiriamali mdogo kwanza unapack una supply.
easiest startup methods.
Tatizo wengi wanadhani kuanza biashara yoyte lazima uwe na mamilioni ya fedha ndio maana kila siku utasikia wakisema sina mtaji au nasubiri nipate mtaji. Kuanza biashara katika kiwango kidogo kuna faida nyingi sana;
1. Kwanza unapunguza kupata hasara kubwa endapo biashara haitaekwenda vizuri
2. Pia inakupa nafasi ya kuisoma biashara na kubadilisha mbinu au mahitaji ya biashara
3. Unapata uzoefu wa kuijua na kuendesha hiyo biashara bila risk kubwa.
4. Inawezsha biashara yako kukua kwa uhakika kutokana na uzoefu
ANZA NA KIDOGO UNACHOWEZA USISUBIRI MAMILION NDIO UFANYE BIASHARA. UKIWA NA HIYO MINDSET YA KUSUBILI MAMILION NDIO UANZE BIASHARA UTASUBIRI SANA NA HATA UKIZIPATA CHANCE YA WEWE KUFANYA BIASHRA VIZURI NI NDOGO MAANA AKILI YAKO UMEWEKEZA KATIKA MTAJI NA SI KATIKA PROCESS/MCHAKATO WA BIASHARA YENYEWE.
Namuibia siri aanze kutngeneza scons its very easy zinalipa balaa,aanze na pisi 200 unga kilo 5.Tatizo wengi wanadhani kuanza biashara yoyte lazima uwe na mamilioni ya fedha ndio maana kila siku utasikia wakisema sina mtaji au nasubiri nipate mtaji. Kuanza biashara katika kiwango kidogo kuna faida nyingi sana;