Kiwanda cha mikate (bakery)

Kiwanda cha mikate (bakery)

Jiko la kuoka mikate, yapo ya umeme, gas, mkaa
Mashine ya kukandia ngano
Mashine ya kukata mikate
Vipima joto (food thermometers)
Chumba safi kilicho na marumaru kwa pande zote za kuta.
Mifuko unaweka oda viwanda husika watakuwekea na nembo,
Unatafuta mtalaam wa kusimamia ubora

Sina uzoefu, tunaupa uzi uhai😁
 
Majiko ya mkaa yanakuwaje mkuu na Bei zake zikoje!
 
Naomba mwenye uelewa wa kufungua kiwanda cha mikate garama na vifaa vyake vyote vinavyo hitajika anipe ABC
Naomba kazi ukiazisha... natengenezaga ya mtaani!!!!

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Jiko la kuoka mikate, yapo ya umeme, gas, mkaa
Mashine ya kukandia ngano
Mashine ya kukata mikate
Vipima joto (food thermometers)
Chumba safi kilicho na marumaru kwa pande zote za kuta.
Mifuko unaweka oda viwanda husika watakuwekea na nembo,
Unatafuta mtalaam wa kusimamia ubora

Sina uzoefu, tunaupa uzi uhai[emoji16]
Hahaaaaa malizia palipobaki mkuu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiko la kuoka mikate, yapo ya umeme, gas, mkaa
Mashine ya kukandia ngano
Mashine ya kukata mikate
Vipima joto (food thermometers)
Chumba safi kilicho na marumaru kwa pande zote za kuta.
Mifuko unaweka oda viwanda husika watakuwekea na nembo,
Unatafuta mtalaam wa kusimamia ubora

Sina uzoefu, tunaupa uzi uhai😁
Asante
 
Hivi viwanda kabla hujafungua fanya Research ya Market Share, unless uwe unafunhua eneo jipya kabisa, vimekuwa vingi sana so lazima ujue viko vingapi eneo lako na kila mmoja ana Market share kiasi gani
Naomba mwenye uelewa wa kufungua kiwanda cha mikate garama na vifaa vyake vyote vinavyo hitajika anipe ABC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi viwanda kabla hujafungua fanya Research ya Market Share, unless uwe unafunhua eneo jipya kabisa, vimekuwa vingi sana so lazima ujue viko vingapi eneo lako na kila mmoja ana Market share kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mnaweza kuwa pamoja lakini mkauza maeneo tofauti, Kuna nchi zina maeneo ya viwanda unakuta viwana 10 vya nguo viko eneo moja na wote wako kwenye biashara wanzalisha na kuuza bila shida.
 
Mkuu, kuhusu machine unaweza kuwasiliana na Sido kwa hapa nchini, au unaweza ku-import kutoka nje ya nchi
Lakini ni vyema ukafanya utafuti juu ya yafuatayo

1. Size ya kiwanda unachotaka kuanzisha (machines na vifaa mbalimbali vya machines)
2. Upatikanaji wa malighafi kwa uhakika baaada ya kufanya installation ya machine
3. Uwepo was nishati ya kuendesha machine

Uwepo wa soko /wateja wa bidhaa zako.
 
Cha kwanza Fanya Utafiti MAKINI KABISA.. ninaongea kwa uzoefu kubwa... Utafiti wako ufanye either utauza kwa display au kusambaza.. kama ni mkate ujue faida yake ngapi na unatengeneza mingapi? Nagharama zake za uendeshaji.. Usiingie kununua mashine ukasema utajua mbele kwa mbele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiwa na ile oven na mashine ya kukandia unga si unaweza tengeneza zile skonsi 300 hivi?
Au kingine nini kinahitajika?
 
Unaweza anza kidogo kidogo home kama mjasiriamali mdogo kwanza unapack una supply.
easiest startup methods.
Tatizo wengi wanadhani kuanza biashara yoyte lazima uwe na mamilioni ya fedha ndio maana kila siku utasikia wakisema sina mtaji au nasubiri nipate mtaji. Kuanza biashara katika kiwango kidogo kuna faida nyingi sana;
1. Kwanza unapunguza kupata hasara kubwa endapo biashara haitaekwenda vizuri
2. Pia inakupa nafasi ya kuisoma biashara na kubadilisha mbinu au mahitaji ya biashara
3. Unapata uzoefu wa kuijua na kuendesha hiyo biashara bila risk kubwa.
4. Inawezsha biashara yako kukua kwa uhakika kutokana na uzoefu

ANZA NA KIDOGO UNACHOWEZA USISUBIRI MAMILION NDIO UFANYE BIASHARA. UKIWA NA HIYO MINDSET YA KUSUBILI MAMILION NDIO UANZE BIASHARA UTASUBIRI SANA NA HATA UKIZIPATA CHANCE YA WEWE KUFANYA BIASHRA VIZURI NI NDOGO MAANA AKILI YAKO UMEWEKEZA KATIKA MTAJI NA SI KATIKA PROCESS/MCHAKATO WA BIASHARA YENYEWE.
 
Namuibia siri aanze kutngeneza scons its very easy zinalipa balaa,aanze na pisi 200 unga kilo 5.
 
Back
Top Bottom