Kiwanda cha nguo na malighafi zake

Kiwanda cha nguo na malighafi zake

geofreyngaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
658
Reaction score
946
Habarin humu ndani
kwanza kabisa napenda kujua kama kunatofauti ya kodi kati ya kitambaa cha nguo na nguo iliyokwisha shonwa pindi vinapoingia nchini kwetu?
Wanachaji asilimia ngapi au kama naweza pata link itakayoniongoza vema ntafurahi zaidi.
Nashawishika kuwa kiwanda kidogo/kati cha nguo hasa jeans(suruali nk, kushona na kuuza jumla) kinaweza kufanya vzr kibiashara ktk mazingira yetu ya tanzania. Mahitaji makubwa kwa kuangalia madukani na ushindani naamini utakua mkubwa lkn ndo biashara japo sikuwahi kufanya utafit kwan sipo nchini. Kama biashara changamoto hazikosekani na ya kwanza nayoiona ni kodi kwa malighafi hasa vitambaa ndo maana nimeiweka ya kwanza ili kama kuna unafuu wa kodi itakua moja ya advantage ktk hii biashara.

2)Ni rasilimali watu kibongobongo ni tatizo japo linaweza kutatuliwa kwa kiasi kikubwa

3)Masoko ingawa unaweza kukabiriana nalo kwa kuzalisha bidhaa nzur, zenye ubunifu na kuwa na bei shindani pamoja na kuwa na gud customer care.

Nachoomba kujua kutoka kwenu;
1) Je hii ni biashara sahihi kwa tz?
2) Zipi changamoto nyingine?
3) Unalionaje soko la nguo kushona na kuuza jumla na sio rejareja?
4) Vifaa gani(brand names, bei, na idadi kwa uchache) vinatakiwa
5) Unadhani kununua nguo iliyokwisha shonwa nje ni rahis zaidi kuliko kununua kitambaa na kukishona mwenyewe?

Note: Biashara itazingatia ubora na kuwa na brand name yake
Critisism ruksa!
Natanguliza shukrani
 
Nimependa sana mawazo.. Nilikuwa Sina hii akirin mwangu Nimetaman Hata unitume nifatilie hii kazi..uhakika wa soko Kwa hapa Nchini ni mkubwa Sana.. Pia Hata Kwa East Africa yote.. Umetaja Ubunifu nadhan hilo ndio Changamoto kubwa Kwa walio wengi hapa Tanzania..

Huku Changamoto UBUNIFU Yani watu hawatak kubun kbs..

Kuhusu kodi Kama unaagiza vitambaa toka nje ni rahis zaid Kuliko ukiagiza nguo..

Pale exteno Dar Jamaa wamefungua kiwanda pale Kuna vijana wengi Sana wameajiliwa pale wanashona nguo Ila vitambaa vinatoka nje..

Nikuhakikishie Hiyo biashara Kwa hapa kwetu ni tam sana..
 
Back
Top Bottom