Kiwanda cha nguo (Tshirt kwa hapa bongo)

Kiwanda cha nguo (Tshirt kwa hapa bongo)

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Wakuu habari zenu nahitaji kufahamishwa mahali kilipo au vilipo kiwanda vya nguo kwa Dar au Pwani ambacho kinazalisha tshirt.

Achana na vile vya external pale.!
 
Kiwanda nnachokamini kipo morogogo njia kama unaelekea iringa..hapo utapata nguo za quarity sana
 
Back
Top Bottom