Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Uwekezaji wa takribani Sh. bilioni 700 katika kiwanda cha sukari na shamba la miwa unaendelea kufungua fursa kubwa za kiuchumi kwa wananchi, huku ukizalisha ajira zaidi ya 5,000.
Mradi huo unatarajiwa kuongeza uzalishaji wa sukari nchini na kwa kiasi kikubwa kupunguza nakisi ya sukari, hatua inayolenga kuimarisha uzalishaji wa ndani na kupunguza utegemezi wa sukari kutoka nje