Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Ingia Tausi kuna viwanja vinauzwa, hapo katika hilo eneo sio mbali na Veta, Kiwanda cha SukariKinajengwa rufiji sehemu gani tuwahi fursa?
Ndo akili za linyumbu lolote zinapofikiahuo mradi lazma mafisadi wana.stake zao
Lake Group akina Lake oil hao.huo mradi lazma mafisadi wana.stake zao
Mimi kwakweli mpaka sasa sijawahi kuona faida ya viwanda vya mkoa wa Pwani wakati hata hapo mkoani tu penyewe hapaeleweki,miundo mbinu ya barabara haieleweki,mkoa kila unapopita ni mapori tu,ukiuliza unaambiwa hapa pa taasisi flani,yani ni shida tu...
Wamepeleka uwekezaji porini, wangeweka ikwiriri