Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatujui haki zetu tuMbona huku tunapigwa hivyo
Wakenya hawatakagi ujinga ujinga.Mbona huku tunapigwa hivyo
Ngoja kesho nimshitaki mama Ashura wa pale Mwembe yanga , maandazi anayoniuzia ndani yako wazi sana !Huku kwetu maandazi ni kama pochi ya coins
Nusu ya andazi ni hewa na sukari mpaka uisikilizie.Ngoja kesho nimshitaki mama Ashura wa pale Mwembe yanga , maandazi anayoniuzia ndani yako wazi sana !
Huku kwetu maandazi ni kama pochi ya coins
Hata uzi haujasoma.Ujanjaujanja Umerudi Tena
Responsibility at work!Kiwanda cha kutengeneza mikate nchini Kenya cha Super loaf kimemuomba radhi mteja wake Kelly Inyani aliyelalamika kukuta uwazi katikati ya mkate alionunua , jambo alilolitafsiri kama kupunjwa mkate ikilinganishwa na thamani ya fedha alizolipa
View attachment 1797966
Kiwanda hicho kimeahidi kumlipa fidia , japo haijafahamika ni fidia ya namna gani atakayolipwa .
Chanzo : Swahili Times