Kiwanda cha Super Loaf chamuomba radhi mteja aliyekuta uwazi kwenye mkate. Chaahidi kumlipa fidia

Wakenya nao mwanaume unaanzaje kulalamikia mkate jamani
 
Ha ha ha!!!! Wakenya mnatia aibu!!! Mkate wa shilingi elfu moja hapa kwetu!!! Kwenu ni vijisenti tu!!!!!
 
vyuma vimekaza hasa na hakuna wa kuvifungua. Yaani hiyo inaitwa tit for tat....yaani piga nikupige. Jamaa kakataa kuwa shamba la bibi.
 
Yaani ingekuwa mimi wangekuja kunilipa mahakamani, na faini juu. Yaani bora mtu anidhulumu kiwanja sio mkate au bagia.

Kwanza kama kampuni waoneshe barua ya kukiri hilo kosa la Dhulma na jamaa apeleke mashahidi na huo mkate. Kisha serikali ya Kenya ioneshe sheria ya kuihukumu kampuni hiyo lasivyo kampuni ifungiwe tu.
 
Superloof wameamua kujiongeza kwa kuleta Tangazo Dogo la biashara ili tujue wapo. Hongera zao wamefanikiwa
 
Wakenya nao mwanaume unaanzaje kulalamikia mkate jamani
Ha ha ha!!!! Wakenya mnatia aibu!!! Mkate wa shilingi elfu moja hapa kwetu!!! Kwenu ni vijisenti tu!!!!!
Haaaapaanaaaaa.....! (Mkojani voice)

Hiyo ni Dhulma kama zingine bwana, Wakenya wanajua hakhi zao
 

Nikajua super loaf ya pale ubungo khaa kumbe kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…