Kulikuwa na vitenge vizuri mno kutoka Mutex, Musoma TextileHivi kuna viwanda miaka ya nyuma nakumbuka MWATEX, walikuwa wanatengeneza vitenge, sijui vimefia wapi.
Urafiki nacho walikua wanatengeneza khanga nzuri nacho kimejifia.
Ni MUTEX kumbe hadi jina nimesahau, mzee wangu alikua na duka la vitenge na khanga nimeuza sana kipindi hicho khanga za urafiki tunauza rejareja 3500, vitenge vilikuwa 4000 kwa 5000.Kulikuwa na vitenge vizuri mno kutoka Mutex
Kulikuwa na Mwatex, Mutex, Urafiki na Sungura vyote hivi vilitumia pamba yetu.Ni MUTEX kumbe hadi jina nimesahau, mzee wangu alikua na duka la vitenge na khanga nimeuza sana kipindi hicho khanga za urafiki tunauza rejareja 3500, vitenge vilikuwa 4000 kwa 5000.
Kuna pesa nyingi sana kwenye haya mavazi, uhitaji ni mkubwa. kwanza ni vazi rasmi kwa watu wazima wengi. kuna umri ukifika yale magauni mazuri mazuri na sketi havikai tena mwilini inabidi uhamie kwenye vazi la vitenge na khanga.Kulikuwa na Mwatex, Mutex, Urafiki na Sungura vyote hivi vilitumia pamba yetu.
West Africa hata vijana wanavaa vazi hili ni ubunifu tu. kwakweli hii biashara ina faida sana.Kuna pesa nyingi sana kwenye haya mavazi, uhitaji ni mkubwa. kwanza ni vazi rasmi kwa watu wazima wengi. kuna umri ukifika yale magauni mazuri mazuri na sketi havikai tena mwilini inabidi uhamie kwenye vazi la vitenge na khanga.
Serikali sikivu chini ya jemedari raisi John Joseph Pombe Magufuli mwana wa Africa chini ya sera yake ya Tanzania [emoji1241] ya viwanda imeshasikia ushauri wako, hivyo usiwe na wasiwasi muda sio mrefu na sisi tutakua na kiwanda cha vitenge kitakachokidhi soko la ukanda mzima wa SADC.West Africa hata vijana wanavaa bazillion hili ni ubunifu tu. kwakweli hii biashara ina faida sana.
Miaka ya 1945 baada ya WWII Mfalme wa Holland aligundua kiwanda cha vitenge ili tu kuzalisha ajira kwa vijana. Soko kubwa likiwa Afrika.